Ndoa za kikristo hazifati maandiko ya kwenye biblia, zinafata sheria za viongozi wa makanisa

Mambo ya free willing kufanya mtu binafsi ni kwenu mlioshazoea kuzifata sheria walizojitungia viongozi wa makanisa badala ya maandiko.

Halafu ni nani aliekwambia kwamba kuongeza mke ni kwa kigezo cha ngono tu ? naona wengi kama wewe ibada yenu ni kuruka ruka na kukanyagana makanisani mkiamini kucheza muziki ndio ibada,
 
Mathayo 19:8-10
 
Mwenye uwezo wa kuoa wake wengi aoe.. afunge harusi kanisani, afunge ndoa bomani, aoe kimila kijijini kwao.. achukue mchepuko sinza, azae na kijakazi, etc.
 
Mwenye uwezo wa kuoa wake wengi aoe.. afunge harusi kanisani, afunge ndoa bomani, aoe kimila kijijini kwao.. achukue mchepuko sinza, azae na kijakazi, etc.
Ndoa inabidi iwe ya kitakatifu yenye baraka zake Mungu
 
Usije na maneno matupu, njoo na ushahidi wa kupinga
Unafkiri umegundua kitu ?.
Unakuja na kamstari kako kutetea hoja unafkiri kamejitosheleza kwa vitu ulivyotaja hapo.🤣🤣
 
Tegemea wanawake wakikristo kuja kukupinga sana..shenzi sana hawa wanawake uchi wanagoma kutoa unaweza kukaa wiki 3 haujapewa uchi halafu hapo hapo hataki kusikia habari za mchepuko...
Bumbaaav
 
Aise fata maisha yako usitupangie tuishi kama wewe
Kama unapenda wake wengi oa wewe
Usi force tufanane
 
Mimi mambo ya kabla Yesu kuja kutuokoa huwa

Si ukaoe serikalini na kwenye cheti kuna option ya ndoa ya wake wengi.
Yesu mwenye alisema hakuja kurengua torati Bali kutimiliza torati.
Shida mmekaririshwa fikra na tafasiri za watu.
Yale wanayoyawaza ndio wamewajaza vichwani ili muwatii.
Tumieni akili kutafakari na sio hisia.
 
Amezuia kuongeza mke?
 
Mpaka Sasa hakuna aliyemjibu mtoa hoja zaidi ya kuja na hisia tu.
Na bahati mbaya zaidi wanaojifanya wanatetea ndio wazinzi wa gizani.
Kwenye Biblia hakuna kifungu kinakataza kuoa mke zaidi ya mmoja.
Hakipo kabisa.
Ni hisia tu za watu na ubinafsi ndio umetufikisha hapa.
Watu tunabeba tafsiri za anayetusomea neno badala ya kulitafakari neno la kwenye Biblia.
 
mfumo wa mke mmoja ni mfumo na ustarabu wa wazungu hauna uhusiano wowote na biblia wala asili, wazungu wanatabia ya kufanya vitu tofauti na asili , wakivipa jna la haki za binadamu au democracy , ni sumu na hatari sna kwa ustaharabu wa asili wa dunia yetu, napata mashaka makubwa kuwa hawa jamaa wana asili ya dunia hii .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…