Ndoa za kikristo hazifati maandiko ya kwenye biblia, zinafata sheria za viongozi wa makanisa

Ndoa za kikristo hazifati maandiko ya kwenye biblia, zinafata sheria za viongozi wa makanisa

Mkuu wewe kama unaona mke mmoja hakutoshi oa wanaokutosha wewe
Mbona hii kitu ni free willing ya mtu binafsi

Kamwe huwezi kubadilisha misimamo ya dini hata kama ni viongoz waliiweka wao

Wewe fanya kile unachoona kinakupa furuha maishani mwako

Usipoteze muda wako hapa
We endelea kufanya uzinzi wako hakuna wakukusumbua na sisi tunaomba usitusumbue
Mambo ya free willing kufanya mtu binafsi ni kwenu mlioshazoea kuzifata sheria walizojitungia viongozi wa makanisa badala ya maandiko.

Halafu ni nani aliekwambia kwamba kuongeza mke ni kwa kigezo cha ngono tu ? naona wengi kama wewe ibada yenu ni kuruka ruka na kukanyagana makanisani mkiamini kucheza muziki ndio ibada,
 
Nazidi kuwaona wakristo bandia mnaopenda kuzifata sheria walizojitungia viongozi badala ya maandiko.

Halafu ni nani aliekwambia kwamba kuongeza mke ni kwa kigezo cha ngono tu ? naona wengi kama wewe ibada yenu ni kuruka ruka na kukanyagana makanisani mkiamini kucheza muziki ndio ibada,
Mathayo 19:8-10
 
Hizi Ndoa za kikristo zimefikia mahala sasa tunaweza kuziita ndoa za kisheria kwasababu watu wanaona mahakamani kuna unafuu kuliko kufata Sheria za ndoa za kikristo.

Usijidanganye kizazi hiki kwamba mke mwema anashushwa na Bwana, Mwanamke unaweza kumchunguza mwaka mzima mkiwa kwenye uchumba na ukaona Yes! Hapa nimepata wife material, Muoe Sasa uone timbwili lake na makucha aliyoficha, hutakosa kuona rangi yoyote, Kiburi kitaanza kwa jeuri ya ndoa akiona kwamba wote mpo sawa maana sheria za viongozi wa kanisa zimekubana ugandane nae mpaka kifo na huruhusiwi kuoa mke mwengine.

Maandiko yapo wazi kabisa huwezi kumuacha mpaka kifo ama afanye uashareti nje ya ndoa lakini hakuna sehemu wamekataza kuongeza mke,

Kuhusu kuoa wake wawili hapa ndipo tulipoingizwa cha kike hasa kwetu waafrika

Watu wanakuja na utetezi wa mistari Ile ya Kila mwanaume awe na "mke wake", hivi nitoe mfano tu mtu ana wake watu,

mke wa kwanza sio "mke wake"?

mke wa pili sio "mke wake" ?

mke wa tatu sio "mke wake"?

Hata Kwa mwanaume mwenye mke moja nae huyo moja ni mke wake.

Yesu pia aliongelea tu kuhusu kutoa talaka hakuzungumzia chochote kuhusu kukataza kuongeza mke, wakati huo aliokuwepo kulikiwa na wa Israel wengi tu wenye mke zaidi ya moja kama mababu zao kina Musa walioleta amri 10 za Mungu.


Kuna hii hija nyingine ya "mwili moja" inatafsiriwa vibaya ili kuendana na sheria za viongozi wa makanisa wanaobana mwanaume asioe mke wa ziada

Mwanaume ni mwili moja na kila mwanamke ataekutana nae kimwili, iwe ni kwenye ndoa yenye baraka zake Mungu ama Nje ya ndoa akiwa na malaya, Kwa hio pale mwanaume anapokuwa mwili moja na mke wake bado haiondoi kwake kuwa mwili moja na wake wengine. hata sisi wanadamu tupo zaidi ya bilioni lakini Mungu yupo moja ila kila anaeungana roho yake Mungu hutengeneza roho moja, Ndivyo ilivyo hivi kwa wanawake wengi wakiolewa na mwanaume moja kila moja wao huwa ni mwili moja na mme moja, Siongei maneno matupu bila maandiko ya biblia 1-wakorintho 6:16

Au hamjui ya kuwa hata yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja, Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho moja naye.


Madhara yake siku hizi wakristo wengi hawana muda na sheria za viongozi wa makanisa wanakimbilia kuyamaliza mahakamani ili kuoa mke mwengine

kumbana mwanaume kuwa na mke moja matokeo yake ndio haya tunayoyaona michepuko imekuwa kawaida sana siku hizi.
Mwenye uwezo wa kuoa wake wengi aoe.. afunge harusi kanisani, afunge ndoa bomani, aoe kimila kijijini kwao.. achukue mchepuko sinza, azae na kijakazi, etc.
 
Mwenye uwezo wa kuoa wake wengi aoe.. afunge harusi kanisani, afunge ndoa bomani, aoe kimila kijijini kwao.. achukue mchepuko sinza, azae na kijakazi, etc.
Ndoa inabidi iwe ya kitakatifu yenye baraka zake Mungu
 
Usije na maneno matupu, njoo na ushahidi wa kupinga
Unafkiri umegundua kitu ?.
Unakuja na kamstari kako kutetea hoja unafkiri kamejitosheleza kwa vitu ulivyotaja hapo.🤣🤣
 
Tegemea wanawake wakikristo kuja kukupinga sana..shenzi sana hawa wanawake uchi wanagoma kutoa unaweza kukaa wiki 3 haujapewa uchi halafu hapo hapo hataki kusikia habari za mchepuko...
Bumbaaav
 
Mambo ya free willing kufanya mtu binafsi ni kwenu mlioshazoea kuzifata sheria walizojitungia viongozi wa makanisa badala ya maandiko.

Halafu ni nani aliekwambia kwamba kuongeza mke ni kwa kigezo cha ngono tu ? naona wengi kama wewe ibada yenu ni kuruka ruka na kukanyagana makanisani mkiamini kucheza muziki ndio ibada,
Aise fata maisha yako usitupangie tuishi kama wewe
Kama unapenda wake wengi oa wewe
Usi force tufanane
 
Mimi mambo ya kabla Yesu kuja kutuokoa huwa

Si ukaoe serikalini na kwenye cheti kuna option ya ndoa ya wake wengi.
Yesu mwenye alisema hakuja kurengua torati Bali kutimiliza torati.
Shida mmekaririshwa fikra na tafasiri za watu.
Yale wanayoyawaza ndio wamewajaza vichwani ili muwatii.
Tumieni akili kutafakari na sio hisia.
 
Mathayo 19:8-10
Yesu akajibu, “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu mlikataa kupokea mafundisho ya Mungu. Lakini talaka haikuruhusiwa hapo mwanzo. 9 Ninawaambia kuwa, kila anayemtaliki mke wake, isipokuwa kutokana na uzinzi, na akamwoa mwanamke mwingine, anazini.”

Acha uzwazwa kuwa unasoma biblia
Amezuia kuongeza mke?
 
Mpaka Sasa hakuna aliyemjibu mtoa hoja zaidi ya kuja na hisia tu.
Na bahati mbaya zaidi wanaojifanya wanatetea ndio wazinzi wa gizani.
Kwenye Biblia hakuna kifungu kinakataza kuoa mke zaidi ya mmoja.
Hakipo kabisa.
Ni hisia tu za watu na ubinafsi ndio umetufikisha hapa.
Watu tunabeba tafsiri za anayetusomea neno badala ya kulitafakari neno la kwenye Biblia.
 
mfumo wa mke mmoja ni mfumo na ustarabu wa wazungu hauna uhusiano wowote na biblia wala asili, wazungu wanatabia ya kufanya vitu tofauti na asili , wakivipa jna la haki za binadamu au democracy , ni sumu na hatari sna kwa ustaharabu wa asili wa dunia yetu, napata mashaka makubwa kuwa hawa jamaa wana asili ya dunia hii .
 
Back
Top Bottom