mbona hujamalizia mstari vizuri, malizia na watakua "mwili moja"
Mwanaume ni mwili moja na kila mwanamke ataekutana nae kimwili, iwe ni kwenye ndoa yenye baraka zake Mungu ama Nje ya ndoa akiwa na malaya, Kwa hio pale mwanaume anapokuwa mwili moja na mke wake bado haiondoi kwake kuwa mwili moja na wake wengine. hata sisi wanadamu tupo zaidi ya bilioni lakini Mungu yupo moja ila kila anaeungana roho yake Mungu hutengeneza roho moja, Ndivyo ilivyo hivi kwa wanawake wengi wakiolewa na mwanaume moja kila moja wao huwa ni mwili moja na mme moja.
Siongei maneno matupu bila maandiko ya biblia 1-wakorintho 6:16
Au hamjui ya kuwa hata yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja, Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho moja naye.
Tutajie.Kwanza maandiko mengi yanakandamiza wanawake. Halafu mjue Biblia kuna vitabu vingi tu havijaandikwa kwenye Biblia.
Km vitabu gan? Emu vitajeKwanza maandiko mengi yanakandamiza wanawake. Halafu mjue Biblia kuna vitabu vingi tu havijaandikwa kwenye Biblia.
Mkuu,hapa utashambuliwa sana,imani ya mtu katika dini fulani inaathiri sehemu ile ya ubongo inayoathiriwa na uraibu wa madawa ya kulevya..so una mlima wa kupanda ili watu wakuelewe.Nimekuuliza swali huko nyuma kuhusu kauli yako kwamba mwanaume kuoa wake wengi ni umalaya,
Nakuuliza upya tena, Kina Musa walikuwa malaya ??
Uzi wako nimeupenda na nasema uko sahihi. Watu wakibisha wabishe tu maana ni haki yao. Maandiko yanasema siku za mwisho watu watawalazimisha wenzao wasioe!!Hadi sasa sijaona kanisa linalofata maandiko kama yalivyo kwenye biblia, sheria zinazofatwa ni za viongozi wa makanisa zikiwemo sheria za utesaji za kulazimisha mapadre wasifanye sex maisha yao yote, ndizo hizi sheria iliwafanya kina Dokta slaa wakimbie upadri, waliobaki ndio hawa wengi wenye watoto wa siri mitaani na lundo la kesi za kulawiti watoto wa kiume
Unaonekana mgumu sana kuelewa, point ya mleta mada ni kwamba Suala la mke mmoja ni suala la kanisa wala si Mungu aliyetoa maagizo mwanaume kuoa mke mmoja, mleta mada akatoa mfano wa mtume Mussa alikuwa na mahusiano ya karibu na mungu lakini bado alikuwa na wake wengi.Sikuona haja ya kuandika kwa kurefu, by the way mkuu sijaelewa point yako hapa. Unamaamisha ndoa za kikristo hazifuati maandiko? Personalky nadhani ndoa zinafungwa kwa kufuata maandiko lakini wanandoa wanashindwa kutimiza maagizo yaliyotolewa kwenye maandiko ikiwa ni pamoja na kubunja viapo vya ndoa, kushindwa kutimiza majukumu ya ndoa, nk.
Baada ya kuandika "maoni yako binafsi" hebu sasa jenga hoja zako kwa kunukuu maandiko kifungu kwa kifungu. Mwanamume mwenye mtazamo wa aina hii hatoshi kuwa mume wa ndoa. Acha kufuata mkumbo huku huelewi ni nini unachokitaka. Watu wenye mitazamo ya hovyo namna hii ndio mnaizika taasisi ya ndoa na kufanya ionekane ni ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia.Hizi ndoa za kikristo zimefikia mahala sasa tunaweza kuziita ndoa za kisheria kwasababu watu wanaona mahakamani kuna unafuu kuliko kufata sheria za ndoa za kikristo.
Usijidanganye kizazi hiki kwamba mke mwema anashushwa na Bwana, mwanamke unaweza kumchunguza mwaka mzima mkiwa kwenye uchumba na ukaona ndiyo hapa nimepata "Wife material".
Muoe sasa uone timbwili lake na makucha aliyoficha, hutakosa kuona rangi yoyote. Kiburi kitaanza kwa jeuri ya ndoa akiona kwamba wote mpo sawa, maana sheria za viongozi wa kanisa zimekubana ugandane naye mpaka kifo na huruhusiwi kuoa mke mwengine.
Maandiko yapo wazi kabisa huwezi kumuacha mpaka kifo ama afanye uashareti nje ya ndoa, lakini hakuna sehemu wamekataza kuongeza mke! Kuhusu kuoa wake wawili hapa ndipo tulipoingizwa cha kike hasa kwetu Waafrika.
Watu wanakuja na utetezi wa mistari ile ya kila mwanaume awe na "Mke wake", hivi nitoe mfano tu mtu ana wake watatu;
~ Mke wa kwanza sio "Mke wake"?
~ Mke wa pili sio "Mke wake"?
~ Mke wa tatu sio "Mke wake"?
Hata kwa mwanaume mwenye mke moja, naye huyo moja ni mke wake.
Yesu pia aliongelea tu kuhusu kutoa talaka hakuzungumzia chochote kuhusu kukataza kuongeza mke. Wakati huo aliokuwepo kulikuwa na wa Israel wengi tu wenye mke zaidi ya mmoja kama mababu zao akina Musa walioleta Amri 10 za Mungu.
Kuna hii hoja nyingine ya "Mwili moja" inatafsiriwa vibaya ili kuendana na sheria za viongozi wa makanisa wanaobana mwanaume asioe mke wa ziada.
Mwanaume ni mwili moja na kila mwanamke ataekutana nae kimwili, iwe ni kwenye ndoa yenye baraka zake Mungu ama nje ya ndoa akiwa na malaya. Kwahiyo pale mwanaume anapokuwa mwili moja na mke wake bado haiondoi kwake kuwa mwili moja na wake wengine.
Hata sisi wanadamu tupo zaidi ya bilioni lakini Mungu yupo moja ila kila anaeungana roho yake, Mungu hutengeneza roho moja. Ndivyo ilivyo hivi kwa wanawake wengi wakiolewa na mwanaume moja, kila mmoja wao huwa ni mwili mmoja na mme moja. Siongei maneno matupu bila maandiko ya biblia 1-wakorintho 6:16;
"Au hamjui ya kuwa hata yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja, Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho moja naye."
Madhara yake siku hizi wakristo wengi hawana muda na sheria za viongozi wa makanisa wanakimbilia kuyamaliza mahakamani ili kuoa mke mwengine.
kumbana mwanaume kuwa na mke moja matokeo yake ndiyo haya tunayoyaona michepuko imekuwa kawaida sana siku hizi.
Mwanangu umeongea point, hamna agano jipya bila agano la kaleHata ibrahim alikuwa na wake wengi, hata Solomon aliyebarikiwa hekima alikuwa na wake wengi.
Viazi watakuja kusema "oooh hizo habari za agano la kale, tupo agano jipya sasa"
So Km agano la kale halina maana, habari zake ziondolewe kwenye mafundisho ya kanisa now.
Tutajie wake wa Abrahamu sie viazi.Hata ibrahim alikuwa na wake wengi, hata Solomon aliyebarikiwa hekima alikuwa na wake wengi.
Viazi watakuja kusema "oooh hizo habari za agano la kale, tupo agano jipya sasa"
So Km agano la kale halina maana, habari zake ziondolewe kwenye mafundisho ya kanisa now.
Changamoto yako ya ndoa haiwezi kubadilisha maandiko ya biblia wewe pambana na hali yako!Hizi ndoa za kikristo zimefikia mahala sasa tunaweza kuziita ndoa za kisheria kwasababu watu wanaona mahakamani kuna unafuu kuliko kufata sheria za ndoa za kikristo.
Usijidanganye kizazi hiki kwamba mke mwema anashushwa na Bwana, mwanamke unaweza kumchunguza mwaka mzima mkiwa kwenye uchumba na ukaona ndiyo hapa nimepata "Wife material".
Muoe sasa uone timbwili lake na makucha aliyoficha, hutakosa kuona rangi yoyote. Kiburi kitaanza kwa jeuri ya ndoa akiona kwamba wote mpo sawa, maana sheria za viongozi wa kanisa zimekubana ugandane naye mpaka kifo na huruhusiwi kuoa mke mwengine.
Maandiko yapo wazi kabisa huwezi kumuacha mpaka kifo ama afanye uashareti nje ya ndoa, lakini hakuna sehemu wamekataza kuongeza mke! Kuhusu kuoa wake wawili hapa ndipo tulipoingizwa cha kike hasa kwetu Waafrika.
Watu wanakuja na utetezi wa mistari ile ya kila mwanaume awe na "Mke wake", hivi nitoe mfano tu mtu ana wake watatu;
~ Mke wa kwanza sio "Mke wake"?
~ Mke wa pili sio "Mke wake"?
~ Mke wa tatu sio "Mke wake"?
Hata kwa mwanaume mwenye mke moja, naye huyo moja ni mke wake.
Yesu pia aliongelea tu kuhusu kutoa talaka hakuzungumzia chochote kuhusu kukataza kuongeza mke. Wakati huo aliokuwepo kulikuwa na wa Israel wengi tu wenye mke zaidi ya mmoja kama mababu zao akina Musa walioleta Amri 10 za Mungu.
Kuna hii hoja nyingine ya "Mwili moja" inatafsiriwa vibaya ili kuendana na sheria za viongozi wa makanisa wanaobana mwanaume asioe mke wa ziada.
Mwanaume ni mwili moja na kila mwanamke ataekutana nae kimwili, iwe ni kwenye ndoa yenye baraka zake Mungu ama nje ya ndoa akiwa na malaya. Kwahiyo pale mwanaume anapokuwa mwili moja na mke wake bado haiondoi kwake kuwa mwili moja na wake wengine.
Hata sisi wanadamu tupo zaidi ya bilioni lakini Mungu yupo moja ila kila anaeungana roho yake, Mungu hutengeneza roho moja. Ndivyo ilivyo hivi kwa wanawake wengi wakiolewa na mwanaume moja, kila mmoja wao huwa ni mwili mmoja na mme moja. Siongei maneno matupu bila maandiko ya biblia 1-wakorintho 6:16;
"Au hamjui ya kuwa hata yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja, Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho moja naye."
Madhara yake siku hizi wakristo wengi hawana muda na sheria za viongozi wa makanisa wanakimbilia kuyamaliza mahakamani ili kuoa mke mwengine.
kumbana mwanaume kuwa na mke moja matokeo yake ndiyo haya tunayoyaona michepuko imekuwa kawaida sana siku hizi.
So kweli kuwa ndoa za Kikristo hazifuati maandiko ila tunapokutana na Changamoto kwenye ndoa huwa tunatafuta maandiko ili tujifariji tunapoyakosa ni lazima tulalamike kama mtoa madam anavyofanya.Hizi ndoa za kikristo zimefikia mahala sasa tunaweza kuziita ndoa za kisheria kwasababu watu wanaona mahakamani kuna unafuu kuliko kufata sheria za ndoa za kikristo.
Usijidanganye kizazi hiki kwamba mke mwema anashushwa na Bwana, mwanamke unaweza kumchunguza mwaka mzima mkiwa kwenye uchumba na ukaona ndiyo hapa nimepata "Wife material".
Muoe sasa uone timbwili lake na makucha aliyoficha, hutakosa kuona rangi yoyote. Kiburi kitaanza kwa jeuri ya ndoa akiona kwamba wote mpo sawa, maana sheria za viongozi wa kanisa zimekubana ugandane naye mpaka kifo na huruhusiwi kuoa mke mwengine.
Maandiko yapo wazi kabisa huwezi kumuacha mpaka kifo ama afanye uashareti nje ya ndoa, lakini hakuna sehemu wamekataza kuongeza mke! Kuhusu kuoa wake wawili hapa ndipo tulipoingizwa cha kike hasa kwetu Waafrika.
Watu wanakuja na utetezi wa mistari ile ya kila mwanaume awe na "Mke wake", hivi nitoe mfano tu mtu ana wake watatu;
~ Mke wa kwanza sio "Mke wake"?
~ Mke wa pili sio "Mke wake"?
~ Mke wa tatu sio "Mke wake"?
Hata kwa mwanaume mwenye mke moja, naye huyo moja ni mke wake.
Yesu pia aliongelea tu kuhusu kutoa talaka hakuzungumzia chochote kuhusu kukataza kuongeza mke. Wakati huo aliokuwepo kulikuwa na wa Israel wengi tu wenye mke zaidi ya mmoja kama mababu zao akina Musa walioleta Amri 10 za Mungu.
Kuna hii hoja nyingine ya "Mwili moja" inatafsiriwa vibaya ili kuendana na sheria za viongozi wa makanisa wanaobana mwanaume asioe mke wa ziada.
Mwanaume ni mwili moja na kila mwanamke ataekutana nae kimwili, iwe ni kwenye ndoa yenye baraka zake Mungu ama nje ya ndoa akiwa na malaya. Kwahiyo pale mwanaume anapokuwa mwili moja na mke wake bado haiondoi kwake kuwa mwili moja na wake wengine.
Hata sisi wanadamu tupo zaidi ya bilioni lakini Mungu yupo moja ila kila anaeungana roho yake, Mungu hutengeneza roho moja. Ndivyo ilivyo hivi kwa wanawake wengi wakiolewa na mwanaume moja, kila mmoja wao huwa ni mwili mmoja na mme moja. Siongei maneno matupu bila maandiko ya biblia 1-wakorintho 6:16;
"Au hamjui ya kuwa hata yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja, Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho moja naye."
Madhara yake siku hizi wakristo wengi hawana muda na sheria za viongozi wa makanisa wanakimbilia kuyamaliza mahakamani ili kuoa mke mwengine.
kumbana mwanaume kuwa na mke moja matokeo yake ndiyo haya tunayoyaona michepuko imekuwa kawaida sana siku hizi.
Au kama paka shume tuHujalazimishwa kuoa ndoa sio kwa ajili ya watu wote unaweza ukazaa tu kama panya