Hizi kinga za kuzuia mimba baadhi zina madhara kwa wanawake.
Moja wapo ni kupoteza hamu ya tendo.
mama yako anataka awe bibi wa wajukuu lakini mke wako anajiamulia kuzaa mtoto moja, je utaongezea hao wajukuu wengine wapi?Umetumwa? Usitengeneze tatizo pasipo na tatizo. Huo ni uchawi.
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
na hata kwenye biblia imeruhusu kuoa mke zaidi ya moja lakini sasa ukristo umevamiwa na viongozi wa makanisa.
Ni hekima kubwa sana Mungu kuruhusu make zaidi ya mmoja maana hawezi weka amri huku kwingine akufunge. Yani aseme usizini huku mke ana maradhi ndio maana akaruhusu. Allahu Akbarhicho cha mtoto, anaweza akawa kapata hali ya kiafya ambayo haimruhusu tena kushiriki tendo, hapo vp?
Madhara ni mengi...alafu hakuna utatuzi wowoteKuna mmoja alieleza uzoefu wake kwenye semina ya afya alisema kuna kinga zinawawasha mpaka wanadhalilika, wanajikaza kujikuna lakini mwisho wa siku lazima wajukune hata iwe kwenye daladala
na hata kwenye biblia imeruhusu kuoa mke zaidi ya moja lakini sasa ukristo umevamiwa na viongozi wa makanisa.
Mke.Yaaani nani mwenye jukum la kupanga mpate watoto wangapi?
Ipo wazi hapodini ?
Katoto ever njoo hapa Kuna nafasi 2 zimebakiMke.
Nafasi za?Katoto ever njoo hapa Kuna nafasi 2 zimebaki
MajimboNafasi za?
Mi mwenyewe ninayo matatu, bado moja.Majimbo
Acha hizo wewe umebadili dini lini ya kuoa wake 3Mi mwenyewe ninayo matatu, bado moja.
My dear bado hujakutana na mbaba anakwambia nataka wa tano hapa, mbona uzazi wako wa mpango utavurugika. Alafu wewe kwenye uzi ule kujimwambafai kumbe gari zao za mkopo mbona sijakuona wewe jamani.Mke.
Una miaka mingapi ndugu yangu? Inaonekana una umri mdogo au ni mgeni wa mahusiano pia. Lakini ushauri wangu ni huu ufiatao......!Tunaposema maandiko ya biblia hayajakataza ndoa yenye mke zaidi ya mmoja ila ni maelekezo ya viongozi wa makanisa muwe waelewa.
haya sasa, hivi chukulia kijana wa kikristo mwenye miaka 25 kaoa halafu anaenda kukutana vitu hivi kwenye ndoa
-mke kaamua awe na mtoto mmoja tu baada ya hapo atatumia kinga za kuzuia mimba
-mke hana uwezo wa kuzaa (tasa)
-mke hana hamu tena ya tendo, labda mara 1 kwa mwaka.
-kapatwa na ugonjwa ama ajali isiyomruhusu kufanya tendo.
-mke kapandishwa cheo anahamishiwa bukoba kikazi wakati mme wake yupo dar na kukutana ni mara 1 kwa mwezi.
yaani hapo hakuna kuongeza mke na ndoa kuvunjika ni mpaka kifo ama umfumanie anachepuka (kitu ambacho ni aibu kwetu wanaume ).
suluhisho ni lipi hapo kwa hizi sheria za viongozi wa makanisa (sio maandiko) waliombana mwanaume awe na mke mmoja ?