Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Hamna ndoa hapo ...serikali haina dini ....Sasa Ni kubariki uzinzi officially
Ndoa zote ni za serikali, dini ni wakala tu…. kasome cheti chako utajua hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna ndoa hapo ...serikali haina dini ....Sasa Ni kubariki uzinzi officially
Tunaposema maandiko ya biblia hayajakataza ndoa yenye mke zaidi ya mmoja ila ni maelekezo ya viongozi wa makanisa muwe waelewa.
haya sasa, hivi chukulia kijana wa kikristo mwenye miaka 25 kaoa halafu anaenda kukutana vitu hivi kwenye ndoa
-mke kaamua awe na mtoto mmoja tu baada ya hapo atatumia kinga za kuzuia mimba
-mke hana uwezo wa kuzaa (tasa)
-mke hana hamu tena ya tendo, labda mara 1 kwa mwaka.
-kapatwa na ugonjwa ama ajali isiyomruhusu kufanya tendo.
-mke kapandishwa cheo anahamishiwa bukoba kikazi wakati mme wake yupo dar na kukutana ni mara 1 kwa mwezi.
yaani hapo hakuna kuongeza mke na ndoa kuvunjika ni mpaka kifo ama umfumanie anachepuka (kitu ambacho ni aibu kwetu wanaume ).
suluhisho ni lipi hapo kwa hizi sheria za viongozi wa makanisa (sio maandiko) waliombana mwanaume awe na mke mmoja ?
Nabet wewe upo hapa mjiniHuko Y am sure kuna Jamaa anakusaidia kumliwaza wife....
It's not easy as you think guys...inauma pale unapigwa na baridi la usiku huku unajua mumeo kakumbatiwa huko.....kifuatacho ni kipoozeo!
Mkuu ongeza pole nyingine,maana tu si kupita chuo bali ni Medicine Doctor.Kama amepita chuo hapo nakupa pole mara tatu.
Mkuu, huwezi kulinganisha Ukristo na Uislamu, they are incompatible. Uislam ni imani ya mwilini na Ukristo ni imani ya rohoni.Tunaposema maandiko ya biblia hayajakataza ndoa yenye mke zaidi ya mmoja ila ni maelekezo ya viongozi wa makanisa muwe waelewa.
Haya sasa, hivi chukulia kijana wa kikristo mwenye miaka 25 kaoa halafu anaenda kukutana vitu hivi kwenye ndoa.
Yaani hapo hakuna kuongeza mke na ndoa kuvunjika ni mpaka kifo ama umfumanie anachepuka (kitu ambacho ni aibu kwetu wanaume).
- Mke kaamua awe na mtoto mmoja tu baada ya hapo atatumia kinga za kuzuia mimba
- Mke hana uwezo wa kuzaa (tasa)
- Mke hana hamu tena ya tendo, labda mara 1 kwa mwaka.
- Kapatwa na ugonjwa ama ajali isiyomruhusu kufanya tendo.
- Mke kapandishwa cheo anahamishiwa bukoba kikazi wakati mme wake yupo dar na kukutana ni mara 1 kwa mwezi.
Suluhisho ni lipi hapo kwa hizi sheria za viongozi wa makanisa (sio maandiko) waliombana mwanaume awe na mke mmoja?
DuuuMkuu, huwezi kulinganisha Ukristo na Uislamu, they are incompatible. Uislam ni imani ya mwilini na Ukristo ni imani ya rohoni.
Hizo hoja ulizotoa hapo hazina mashiko kabisa hata nje ya Ukristo, alimradi tu anayezisoma ana ufahamu na anajitambua.
1. Mke KAAMUA awe na mtoto mmoja - kwenye ndoa za kikristo mke hana hayo maamuzi. Maandiko yanasema zaeni muongezeke mkaijaze nchi. Mungu ndiye mwamuzi, hivyo huu upuuzi uhifadhi kwa ajili ya imani yako tu.
2. Maandiko yanasema hiyo iko hivyo ili Mungu atukuzwe. Mwenye kutoa mtoto ni Mungu, ndiye asili ya uhai wote. Ninyi mlioagizwa kwamba ni lazima mwanamke azae fanyeni hivyo.
3. Mke hana hamu ya tendo la ndoa, labda mara moja kwa mwaka - lala naye mara moja kwa mwaka. Hoja ya ajabu hii!! Maandiko yanasema mke hana amri juu ya mwili wake, kadhalika mume naye. Unaelewa maana ya haya?
4. Kupatwa na ugonjwa ama ajali - so what!? Umpe talaka? Basi wewe ni ibilisi kabisa. Maandiko yanasema wako matowashi waliofanywa hivyo na wanadamu. Ninyi mmejengwa msingi wa imani yenu kwenye nyuchi, hivyo hoja za hayo huwavuruga vichwa kweli kweli.
5. Mke kupandishwa cheo, kahawia mbali - akili za ajabu hizi. Mke ni mama wa nyumbani, sasa anawezaje kupandishwa cheo? Mke jukumu lake ni kulea familia, sio kutafuta pesa. Hiyo ndio ndoa ya Kikristo.
Wewe unajua nini kuhusu maandiko hata uwashambulie viongozi wa makanisa? Neno la Mungu na Qur'an ni vitu viwili tofauti kabisa, nuru na giza hakika pamoja. Wawezaje basi kuyatambua (discern) mambo ya nuruni? Simama na imani yako inayokufanya reprobate mind.