'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Ila hii issue Iko VERY SERIOUS wazazi wangekuwa wanajua yanayoendelea chuoni, sidhani kama wangetaman kuendelea kulipa ada.

Nimekaa hostel Moja, jamaa yangu anakaa na Binti Wa watu kama vile kamuoa, bafu la kiume na halina mlango lakini, mara kadhaa tunakutana koridoni na jichekea tu kwa future husband wake.
 
Na wewe sasa.huo ni umbeya, yaani umekosa kazi ya kufanya kiasi kwamba ukaamua kuanza kutembea Mabibo, survey, changanyikeni, msewe, kigamboni n.k kufuatilia wanafunzi wanaoishi pamoja? Mbaya zaidi ukaanza kufuatilia na namna wanavulyotumia p2 na kuchoropoa mimba na namna wanavyotumia kondom kwa mbaaali? Your hayo wewe tu?????
 
Vp unatumia Kondomu au kavu?
 
Mkuu utaoga matusi kama yote maana umetupa jiwe gizani sa ukisikia ukunga ujue tayari.
Ukiona watu wanakujibu kunya ujue ndo hao hao ila ujumbe umefika vijana wabadilike wasije wakarudi na vyeti viwili wakaanza kuwa mizigo kwa familia na vile ajira hamna ni hatari.
BTW. Weka poster kwenye famasi yako andika hivi. " UKIMWI UNAUA TUMIA KONDOMU"
 
Poa. Ujumbe umefika
 
Sio kweli kabisa.
Putin huwa anasema "harasho gde tam mwi niet"


Maana yake sehemu ambayo wewe haupo ni nzuri sana.

Ila ukienda reality kwa ground ni majanga matupu.

Elimu ya bongo bado ipo imara sana
 
Sio kweli kabisa.
Putin huwa anasema "harasho gde tam mwi niet"


Maana yake sehemu ambayo wewe haupo ni nzuri sana.

Ila ukienda reality kwa ground ni majanga matupu.

Elimu ya bongo bado ipo imara sana
Huyu jamaa anashindwa kuelewa kuwa wazembe na wajinga hakuna sehemu wanakosekana. Wachapa kazi na werevu kila sehemu wapo.
 
Uza dawa ACHAna na life la watu
 
Labda alikuwa anafanya "research"; muulize tu "Title" ya research yake; "Findings, na Observation; bila kusahau recommendations" - usimlaumu.
 
Hayo mambo ni toka kitambo icho, kama ni wa kiume kuoa kwa siku kadhaa ni kawaida hiyo.
Kwahiyo unataka vijana wafunge goli la mkono.??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…