'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Lekaga ekishimbe ntumbafu nyanoko bhe
1639938192157.png
Osaatile!
1639936460458.png
 
Ila hii issue Iko VERY SERIOUS wazazi wangekuwa wanajua yanayoendelea chuoni, sidhani kama wangetaman kuendelea kulipa ada.

Nimekaa hostel Moja, jamaa yangu anakaa na Binti Wa watu kama vile kamuoa, bafu la kiume na halina mlango lakini, mara kadhaa tunakutana koridoni na jichekea tu kwa future husband wake.
 
Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni. Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.
***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.

View attachment 2048638

View attachment 2049585
Na wewe sasa.huo ni umbeya, yaani umekosa kazi ya kufanya kiasi kwamba ukaamua kuanza kutembea Mabibo, survey, changanyikeni, msewe, kigamboni n.k kufuatilia wanafunzi wanaoishi pamoja? Mbaya zaidi ukaanza kufuatilia na namna wanavulyotumia p2 na kuchoropoa mimba na namna wanavyotumia kondom kwa mbaaali? Your hayo wewe tu?????
 
Vp unatumia Kondomu au kavu?
 
Mkuu utaoga matusi kama yote maana umetupa jiwe gizani sa ukisikia ukunga ujue tayari.
Ukiona watu wanakujibu kunya ujue ndo hao hao ila ujumbe umefika vijana wabadilike wasije wakarudi na vyeti viwili wakaanza kuwa mizigo kwa familia na vile ajira hamna ni hatari.
BTW. Weka poster kwenye famasi yako andika hivi. " UKIMWI UNAUA TUMIA KONDOMU"
 
Poa. Ujumbe umefika
 
Vyuo vishakua useless Tanzania

Kama una vijihela vyako ukajibana komaa mtoto mpeleke hata USA au Canada akakimbizane na competition huko zinazochukua watoto worldwide

Goddamn hata Kenya tu hapo si mbaya maana wapo namba 6 kwa Africa,au hata Africa Kusini

Western countries kuna real competition,ethics za kazi,za kujifunza,real timetable,unakutana na best of the best,unajitahidi kupambana,na pia wanadamu wanaheshimiana maana lawsuits ni nje nje...ubaguzi upo ila usiwe mtu sensitive sana,na ni katatiza kadogo compared na upumbavu mitoto inafanya huko changanyikeni inatoka hata haijui kuandika official email na presentantion

Tanzania kielimu tupo mavini kule kabisa..hata Uganda na Kenya hatuwawezi..what a Shame!
Sio kweli kabisa.
Putin huwa anasema "harasho gde tam mwi niet"

Maana yake sehemu ambayo wewe haupo ni nzuri sana.

Ila ukienda reality kwa ground ni majanga matupu.

Elimu ya bongo bado ipo imara sana
 
Huyu jamaa anashindwa kuelewa kuwa wazembe na wajinga hakuna sehemu wanakosekana. Wachapa kazi na werevu kila sehemu wapo.
 
Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni. Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.
***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.
NB: Graduate with A's not with AIDS

View attachment 2048638

View attachment 2050364
Uza dawa ACHAna na life la watu
 
Na wewe sasa.huo ni umbeya, yaani umekosa kazi ya kufanya kiasi kwamba ukaamua kuanza kutembea Mabibo, survey, changanyikeni, msewe, kigamboni n.k kufuatilia wanafunzi wanaoishi pamoja? Mbaya zaidi ukaanza kufuatilia na namna wanavulyotumia p2 na kuchoropoa mimba na namna wanavyotumia kondom kwa mbaaali? Your hayo wewe tu?????
Labda alikuwa anafanya "research"; muulize tu "Title" ya research yake; "Findings, na Observation; bila kusahau recommendations" - usimlaumu.
 
Hayo mambo ni toka kitambo icho, kama ni wa kiume kuoa kwa siku kadhaa ni kawaida hiyo.
Kwahiyo unataka vijana wafunge goli la mkono.??
 
Back
Top Bottom