'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni.

Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.

***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.

NB: Graduate with A's not with AIDS

View attachment 2048638

View attachment 2050364

View attachment 2091493

View attachment 2091497
Picha zinahusiana na contents za Uzi?
 
Wamebuni kuingia chumvini tukawaangalia tu.
Wakabuni Mambo ya 0713 kimzaha mzaha mpaka imekua kwenye menu.
Kumbe wamebuni Hadi kuoana wakiwa vyuoni?
Mambo haya miaka yetu hayakuwepo..
Anal sex imekuwepo kabla Yesu hajazaliwa duniani
 
Back
Top Bottom