Kaunara
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 249
- 452
Kwa tafiti ndogo niliyofanya nimeona ndoa nyingi za wasomi watupu hazifanyi vizuri. Zimejaa dharau na viburi na mwisho huwa ni separation.
Kama umesoma sana kama ni mwanaume tafuta msichana ambaye ana elimu ya kawaida mtaishi vizuri. Hata msichana tafuta mwanauame mwenye elimu ya kati mtafanya maisha. Ila mkiwa wote wasomi nyumba haiendi kabisa.
Na bora awe msichana ndo hana elimu maisha yataenda. Ila nyumba yenye msichana msomi ni hatari sana. Msichana akisoma hataki kujishusha kwa mwanaume, jambo ambalo ni sumu kwa mwanaume. Mwanaume kaumbiwa kutawala. Hivyo nyumba ambayo mwanaume hawezi kutawala huwa hawakai. Na akikaa ujue ni makazi tu moyo wake upo sehemu nyingine ambayo utasikilizwa.