Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wasomi wengi wana watoto mmoja mmoja , waulize baba za hao watoto ndio utajua walishaachan...Akili zao zinaanza kurudi wakifika miaka 35 na kuendelea ..Hawa ambao wako 28 , ukimuuliza una mpango gani ? utasikia ''I'm currently pursuing master's degree''Sidhani kama kuna ukweli, ila nachoamini mimi ni kwamba vile jamii aliaminishwa mwanamke anapaswa kumtegemea mwanaume kiuchumi, na kitu pekee kilikuwa nikifanya hilo liwezekane ni ndoa na ndio maana wanawake wa zamani ilikuwa hata umpige tukio la namna gani atavumilia tu maana hana pa kwenda wala pa kuanzia. lakini sasa kutana na mwanamke anayeweza kujitegemea kiuchumi (sio lazima awe msomi) ukitaka akuheshimu akikisha na we unamuheshimu zaidi ya hapo hakuna jambo.
Tusisomeshe na nani?mimi wa kwangu nitasomesha lakini wakati huo huo mama yao akiwa ndiyo dira yao kwa namna anavyoishi na mimi ajifunze kesho na yeye kwenye nyumba yake ajue namna ya kuishi na mumewe sasa wewe somesha wa kwako huku ukiishi na baba yao kama ngumbaru fulani kwa sababu mnashindana uwezo ndani ya nyumba.Kwa hiyo unashauri nini? Tusisomeshe mabinti zetu ili waje kuwa wake bora au?
Case closed.mimi wa kwangu nitasomesha.
Akili zenyewe wanazo basi ?*Ndoa inahitaji kuwa wajinga wajinga lakini Kila mmoja akijidai kuishirikisha akili yake ni ngumu kutoboa kwenye ndoa. Wasomi wanatumia akili ndio maana hawatoboi
The issue is “kwa kiwango gani?”,huku ni kujifariji tu.Ndoa zote zinavunjika haijalishi ni za wasomi au la.
Lete data tuone kwa uhalisiaThe issue is “kwa kiwango gani?”,huku ni kujifariji tu.
Zote zinavunjika lakini utakuta za wasiosoma zinavunjika mume amekuwa mlevi au ameshindwa matunzo (ambazo siyo case nyingi) lakini za waliosoma conflicts zinaanza mke amechelewa kurudi mara ameanza dharau na majibu mabovu ndani ya nyumba hapo hakuna mwanaume timamu atasema ana mke.
Na chunguza kesi nyingi za maskini ni rahisi kuwa solved kwa sababu ni vyepesi mke kujishusha maisha yaende lakini kwa mke msomi anayepokea mshahara au hata kama hana hata cent ile kuwa tu na elimu kichwani hudhani amemaliza na kuona anaweza kuishi hata kwa kudanga.
Dah rafiki umetaja neno LY umenikumbusha mbali sana ,kipindi ambacho wakati wa kumaliza darasa la saba Kuna nyimbo mnaimbiwa na wadogo zenu kidarasa Basi zinatia huzuni eti mnajikuta wote mnafuta machozi kwa huzuni kwa kusema kuwa hamtakuwa pamoja tena pale shuleni .Sasa,itakuaje kwa wasomi wetu?Ndiyo maana baada ya kupiga LY yangu nikaamua nijikite kwenye usomi wa magazeti tu.🤔
Watanzania tunapenda sana ishu za data ndiyo maana hata nchi haisogei,wewe kubali au kataa sikushikii fimbo lakini mke msomi ndani ya nyumba ni kichomi!Lete data tuone kwa uhalisia
Sasa bila data utajuaje kama ndoa za wasomi ndio zinavunjika? Kwa taarifa yako nchi nyingi zimeendelea sababu ya kuwa na takwimu za uhakika. Bila takwimu unawezaje kupanga na kutekeleza mipango ya maendeleo?Watanzania tunapenda sana ishu za data ndiyo maana hata nchi haisogei,wewe kubali au kataa sikushikii fimbo lakini mke msomi ndani ya nyumba ni kichomi!
Kweli kabisa asije kufikisha miaka 40 anashtuka ndio hawa unaskia nataka kuolewa na yoyote tu atakayekuja ..hapo ana vyeti vya chuo kama 50 ila hana raha, stressed, alcoholic, etc..Tusisomeshe na nani?mimi wa kwangu nitasomesha lakini wakati huo huo mama yao akiwa ndiyo dira yao kwa namna anavyoishi na mimi ajifunze kesho na yeye kwenye nyumba yake ajue namna ya kuishi na mumewe sasa wewe somesha wa kwako huku ukiishi na baba yao kama ngumbaru fulani kwa sababu mnashindana uwezo ndani ya nyumba.
Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini wanawake waliokuzwa kwenye mazingira ya single parent wengi hawadumu ktk ndoa zao?sababu hawakuwahi kuwaona mama na baba zao namna wanavyobadilishana maneno ndani ya nyumba sasa watoto watakaotokana na wanawake wajuaji kama wasomi nao tutegemee kurithi tabia za mama zao iwe walisoma au hawakusoma.