Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Wanaishi kwa hofu 🤣🤣🤣Here we go again.
🍿🍷
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaishi kwa hofu 🤣🤣🤣Here we go again.
🍿🍷
tatizo linakuja kwenye kilo na urefu wa nywele,...akiona amekuzidi hata hivyo tu, anaanza kukukadilia kwa dharau😞😞Mwanamke asikuzidi hata kimo.
Kaka nakubali! Wanawake wa wasomi wa siku hizi kuolewa mapema hawataki wanataka wafikishe miaka 27,28 - 32 ndo waoleweKwa tafiti ndogo niliyofanya nimeona ndoa nyingi za wasomi watupu hazifanyi vizuri. Zimejaa dharau na viburi na mwisho huwa ni separation.
Kama umesoma sana kama ni mwanaume tafuta msichana ambaye ana elimu ya kawaida mtaishi vizuri. Hata msichana tafuta mwanauame mwenye elimu ya kati mtafanya maisha. Ila mkiwa wote wasomi nyumba haiendi kabisa.
Na bora awe msichana ndo hana elimu maisha yataenda. Ila nyumba yenye msichana msomi ni hatari sana. Msichana akisoma hataki kujishusha kwa mwanaume, jambo ambalo ni sumu kwa mwanaume. Mwanaume kaumbiwa kutawala. Hivyo nyumba ambayo mwanaume hawezi kutawala huwa hawakai. Na akikaa ujue ni makazi tu moyo wake upo sehemu nyingine ambayo utasikilizwa.
Yaani taabu kila kukicha🤣Wanaishi kwa hofu 🤣🤣🤣
Hakuna iliposemwa hazivujiki point ya msingi ni zipi zinazoongoza kwa kuvunjika?Ndoa za wasio wasomi zingekuwa hazivunjiki kabisa ingekua sawa lkn ajabu nazo nyingi tu zinapumulia socks na zingine zishajifia.
Sidhani kama elimu ni shida, shida ni mtu mwenyewe akili yake ipo vipi.
Msichana wa Jana,wewe ni wa 2000s ain't you?Sidhani kama kuna ukweli, ila nachoamini mimi ni kwamba vile jamii aliaminishwa mwanamke anapaswa kumtegemea mwanaume kiuchumi, na kitu pekee kilikuwa nikifanya hilo liwezekane ni ndoa na ndio maana wanawake wa zamani ilikuwa hata umpige tukio la namna gani atavumilia tu maana hana pa kwenda wala pa kuanzia. lakini sasa kutana na mwanamke anayeweza kujitegemea kiuchumi (sio lazima awe msomi) ukitaka akuheshimu akikisha na we unamuheshimu zaidi ya hapo hakuna jambo.
Elimu ni shida sana mkuu. Asante. Hamna hata msomi mmoja aliekuja na kusema kwamba wanaishi safi. Sababu imewaguzaHakuna iliposemwa hazivujiki point ya msingi ni zipi zinazoongoza kwa kuvunjika?
Mimi sasa hivi nimeshaingia umri wa kutafutwa kuombwa ushauri na madogo,akiniletea wazo la kuoa cha kwanza kumuuliza ni elimu ya anayetegemea kumuingiza kwenye circle ya maisha yake sababu mara zote hapa ndiyo huwa tatizo.
Hakuna iliposemwa hazivujiki point ya msingi ni zipi zinazoongoza kwa kuvunjika?
Mimi sasa hivi nimeshaingia umri wa kutafutwa kuombwa ushauri na madogo,akiniletea wazo la kuoa cha kwanza kumuuliza ni elimu ya anayetegemea kumuingiza kwenye circle ya maisha yake sababu mara zote hapa ndiyo huwa tatizo.
dawa ya mwanamke ni mwanamkeUtaoa wangapi mkuu?
Kuna ndugu zangu wameoa darasa la saba lakini ndoa zilikufa kitambo. Wapo single mpaka leo. Haikalishi ninmsomi au la . Halafu si ndoa zote mwanamke ndie ana matatizoNdoa za wasio wasomi zingekuwa hazivunjiki kabisa ingekua sawa lkn ajabu nazo nyingi tu zinapumulia socks na zingine zishajifia.
Sidhani kama elimu ni shida, shida ni mtu mwenyewe akili yake ipo vipi.
Ndoa zote zinavunjika haijalishi ni za wasomi au la.Hakuna iliposemwa hazivujiki point ya msingi ni zipi zinazoongoza kwa kuvunjika?
Mimi sasa hivi nimeshaingia umri wa kutafutwa kuombwa ushauri na madogo,akiniletea wazo la kuoa cha kwanza kumuuliza ni elimu ya anayetegemea kumuingiza kwenye circle ya maisha yake sababu mara zote hapa ndiyo huwa tatizo.