Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wenye tako wajehuri viburi kweliMwanamke akuzidi tako tu.
ujuaji mwingi tatizoKwa tafiti ndogo niliyofanya nimeona ndoa nyingi za wasomi watupu hazifanyi vizuri. Zimejaa dharau na viburi na mwisho huwa ni separation.
Kama umesoma sana kama ni mwanaume tafuta msichana ambaye ana elimu ya kawaida mtaishi vizuri. Hata msichana tafuta mwanauame mwenye elimu ya kati mtafanya maisha. Ila mkiwa wote wasomi nyumba haiendi kabisa.
Na bora awe msichana ndo hana elimu maisha yataenda. Ila nyumba yenye msichana msomi ni hatari sana. Msichana akisoma hataki kujishusha kwa mwanaume, jambo ambalo ni sumu kwa mwanaume. Mwanaume kaumbiwa kutawala. Hivyo nyumba ambayo mwanaume hawezi kutawala huwa hawakai. Na akikaa ujue ni makazi tu moyo wake upo sehemu nyingine ambayo utasikilizwa.
Ila hizi movement za 50/50 wameleta wao.Hata Magharibi kwenyewe haipo
Daaaah hahahahaSio elimu tu.
Nadhani kitu ambacho mwanamke anatakiwa kumzidi mwanaume ni UNENE tu ila mbali na hapa ndani hakutokalika kwa namna yoyote ile.
yaaani unashauri watu wasitumie akili? we vipi umetoka wapi?Ndoa inahitaji kuwa wajinga wajinga lakini Kila mmoja akijidai kuishirikisha akili yake ni ngumu kutoboa kwenye ndoa. Wasomi wanatumia akili ndio maana hawatoboi
Kwa tafiti ndogo niliyofanya nimeona ndoa nyingi za wasomi watupu hazifanyi vizuri. Zimejaa dharau na viburi na mwisho huwa ni separation.
Kama umesoma sana kama ni mwanaume tafuta msichana ambaye ana elimu ya kawaida mtaishi vizuri. Hata msichana tafuta mwanauame mwenye elimu ya kati mtafanya maisha. Ila mkiwa wote wasomi nyumba haiendi kabisa.
Na bora awe msichana ndo hana elimu maisha yataenda. Ila nyumba yenye msichana msomi ni hatari sana. Msichana akisoma hataki kujishusha kwa mwanaume, jambo ambalo ni sumu kwa mwanaume. Mwanaume kaumbiwa kutawala. Hivyo nyumba ambayo mwanaume hawezi kutawala huwa hawakai. Na akikaa ujue ni makazi tu moyo wake upo sehemu nyingine ambayo utasikilizwa.
Ndoa za wasio wasomi zingekuwa hazivunjiki kabisa ingekua sawa lkn ajabu nazo nyingi tu zinapumulia socks na zingine zishajifia.Kamwe usioe msomi hili mbona like wazi.
Kaka yangu alipooa tu mkewe akamwambia nakwenda kusoma canada. Hakurudi tena akaishia kuzaa na wazungu ndoa ikaishia juu kwa juu. Kaka nae akakamata form four lake akaoa upya akapata watoto wake watatu......life goes on
NI kweliHII NI SAHIHI KABISA. I TOTALLY AGREE [emoji817]
Mimi hata kwenye dating i have an experience na wanawake wa hivi ulivyo eleza mleta mada aisee ni hawafai. Yamkini sio wote ila wa hivyo ni 95% ni hawafai. We compare dem wa x-form 4, x-form six, diploma, bachelor, cpa / learned advocate or any other professional alaf compare hulka na tabia zao utagundua jambo (ongezea akiwa wa kishua kwao)
Sio tu elimu mwanamke kila anavyozidi kupata hela nyingi ndio anavyozidi kupandisha mabega akidhani hamuhitaji tena Mwanamme wa kumuongoza maishani mwake. Ni viumbe flan visivyo na utu wala shukrani kabisa. Ukiona hivi na watoto wameshakua umri piga chini tu, huezi ishi na mwanamke asiye na adabu.
FACTS ON FACTS ASIEKUBALI NI SAWA, NAFKIRI BADO HAYAJAMKUTA.