Ndoa za wasomi zinaongoza kwa kuachana

ujuaji mwingi tatizo

Oca
 

HII NI SAHIHI KABISA. I TOTALLY AGREE [emoji817]

Mimi hata kwenye dating i have an experience na wanawake wa hivi ulivyo eleza mleta mada aisee ni hawafai. Yamkini sio wote ila wa hivyo ni 95% ni hawafai. We compare dem wa x-form 4, x-form six, diploma, bachelor, cpa / learned advocate or any other professional alaf compare hulka na tabia zao utagundua jambo (ongezea akiwa wa kishua kwao)

Sio tu elimu mwanamke kila anavyozidi kupata hela nyingi ndio anavyozidi kupandisha mabega akidhani hamuhitaji tena Mwanamme wa kumuongoza maishani mwake. Ni viumbe flan visivyo na utu wala shukrani kabisa. Ukiona hivi na watoto wameshakua umri piga chini tu, huezi ishi na mwanamke asiye na adabu.

FACTS ON FACTS ASIEKUBALI NI SAWA, NAFKIRI BADO HAYAJAMKUTA.
 
Kamwe usioe msomi hili mbona like wazi.

Kaka yangu alipooa tu mkewe akamwambia nakwenda kusoma canada. Hakurudi tena akaishia kuzaa na wazungu ndoa ikaishia juu kwa juu. Kaka nae akakamata form four lake akaoa upya akapata watoto wake watatu......life goes on
 
Ndoa za wasio wasomi zingekuwa hazivunjiki kabisa ingekua sawa lkn ajabu nazo nyingi tu zinapumulia socks na zingine zishajifia.

Sidhani kama elimu ni shida, shida ni mtu mwenyewe akili yake ipo vipi.
 
T
NI kweli
 
Sidhani kama kuna ukweli, ila nachoamini mimi ni kwamba vile jamii aliaminishwa mwanamke anapaswa kumtegemea mwanaume kiuchumi, na kitu pekee kilikuwa nikifanya hilo liwezekane ni ndoa na ndio maana wanawake wa zamani ilikuwa hata umpige tukio la namna gani atavumilia tu maana hana pa kwenda wala pa kuanzia. lakini sasa kutana na mwanamke anayeweza kujitegemea kiuchumi (sio lazima awe msomi) ukitaka akuheshimu akikisha na we unamuheshimu zaidi ya hapo hakuna jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…