Ndoa za wasomi zinaongoza kwa kuachana

Tatizo mnasahau mama zetu baba zetu hawajui kusoma wala kuandika ila watoto mlisoma vizuri mkalelewa kwenye madili vizuri sana,

MY TAKE
Mwanamke ni mama wa nyumbani tu kuishi nje ya huo utaratibu ndio kunafanya wanaume wengi mtoe milio ya kila aina woga wa maisha na ushamba utaogopaje mwanaume kumhudumia mkeo na watoto wako mbona wazee wetu waliweza tena mzee ana wake watatu na kipato shake anategemea jembe tena la mkono na ufugaji wa kuunga unga unga ili tuliishi vizuri tu na hatusikia hizi kelel za kishamba mnazoleta leo
 
Kaka nakubali! Wanawake wa wasomi wa siku hizi kuolewa mapema hawataki wanataka wafikishe miaka 27,28 - 32 ndo waolewe
 
Ndoa za wasio wasomi zingekuwa hazivunjiki kabisa ingekua sawa lkn ajabu nazo nyingi tu zinapumulia socks na zingine zishajifia.

Sidhani kama elimu ni shida, shida ni mtu mwenyewe akili yake ipo vipi.
Hakuna iliposemwa hazivujiki point ya msingi ni zipi zinazoongoza kwa kuvunjika?

Mimi sasa hivi nimeshaingia umri wa kutafutwa kuombwa ushauri na madogo,akiniletea wazo la kuoa cha kwanza kumuuliza ni elimu ya anayetegemea kumuingiza kwenye circle ya maisha yake sababu mara zote hapa ndiyo huwa tatizo.
 
Msichana wa Jana,wewe ni wa 2000s ain't you?

Zamani gani unadhani ilikuwa mwanamke lazima amtegemee mwanaume kwani hata leo hao unaoita wanawake wameacha kuwategemea wanaume?
 
Elimu ni shida sana mkuu. Asante. Hamna hata msomi mmoja aliekuja na kusema kwamba wanaishi safi. Sababu imewaguza
 
Mwanamke akiweza kujitosheleza katika mahitaji yake ,alafu awe na muonekano flani hivi awe akijiangalia kwenye kioo anajiona mzuri ,walio wengi hukosa unyenyekevu ,matokeo yake huishia kuwa masingle mother
 
Kwa hiyo unashauri nini? Tusisomeshe mabinti zetu ili waje kuwa wake bora au?
 
Ndoa za wasio wasomi zingekuwa hazivunjiki kabisa ingekua sawa lkn ajabu nazo nyingi tu zinapumulia socks na zingine zishajifia.

Sidhani kama elimu ni shida, shida ni mtu mwenyewe akili yake ipo vipi.
Kuna ndugu zangu wameoa darasa la saba lakini ndoa zilikufa kitambo. Wapo single mpaka leo. Haikalishi ninmsomi au la . Halafu si ndoa zote mwanamke ndie ana matatizo
 
Ndoa zote zinavunjika haijalishi ni za wasomi au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…