NDOA: Zamani vs Siku hizi

....Mkuu hili kwa maoni yangu ni kosa kubwa sana. Ugomvi wa Wazazi kamwe watoto wasihusishwe na hata kuambiwa yupi wampendaye kati ya Baba na Mama. Pamoja na tofauti zenu inabidi mjitahidi tu ili watoto wasihusishwe kabisa katika ugomvi wenu.
Mnapoachana watoto mtagawana,itakwaje wasifahamu?
 
Kaka, unapozidi kuingiza suala la watoto unanishika pabaya,

Hiii line ya mjadala siitaki tena...Tuongelee ndoa ila mambo ya kugawana watoto ni magumu sana!!
Mkuu inauma ila huwezi kulikimbia,mana ndo njia zinazotumika ili watoto wewe upande wako
 
Mtego wa watoto ni hatari sana ndio maana sipendi kuusikia!!

Kila ninapogiga picha ya kuwagawana watoto hata sipati kitu kichwani au ndiyo unapigwa ban ya kuwaona watoto wako hadi siku iliyopangwa na mahakama....

Hayo bwana tuachane nayo, vinginevyo hii thread itageuka kuwa kama mama mkwe au central police station!!
 
Mkuu kama hujaoa changamoto kama hizi kwa maisha ya baadaye zinakuweka kwenye nafasi nzuri ya kuyafahamu mapenzi na maisha

Huko sipo tena kaka,

Ila mtego wa watoto siutaki kabisa!!
 
anakuchukuliwa watoto na utatakiwa kuwalea na kuwapa matumizi huko huko alipo
 
....Mkuu hili kwa maoni yangu ni kosa kubwa sana. Ugomvi wa Wazazi kamwe watoto wasihusishwe na hata kuambiwa yupi wampendaye kati ya Baba na Mama. Pamoja na tofauti zenu inabidi mjitahidi tu ili watoto wasihusishwe kabisa katika ugomvi wenu.

...mkuu, kiukweli wengi hiyo ilikuwa wishes zetu lakini siku ukweli ulipodhihiri, mwanaume unaachwa na nyumba yako, halafu baada ya muda unaanza kupangiwa kiwango cha makato kwenye kipato chako kwenda kwa ex-spouse wako kwaajili ya child maintenace, halafu kabla hujakaa sawa unapigwa barua ya visitation rights,....ukileta ubishi unapewa restraining order!...

hizi ndio ndoa za dot.com bana...kwa bongo hawajalitambua bado hili, ngoja wajue hizi haki zao tutakoma!

Siku hizi mpenzi wako anamsifia celebrity,je akikutana naye itakwaje,miaka 10 mingi sana

...hahaha, mke anakulazimisha umpeleke kwenye show ya Fally Ipupa, halafu huko anakutia aibu jinsi anavyomshangilia na kung'ang'ania kwenda kumkumbatia mara kwa mara....balaaaa!
 
anakuchukuliwa watoto na utatakiwa kuwalea na kuwapa matumizi huko huko alipo

Hata hivyo, sheria ya ndoa ya Tanzania inatoa nafasi ya mzazi mwenye uwezo kuwachukua watoto endapo wamepita umri ambao ni lazima wake na mama tu (sina hakika ila nadhani ni hadi miaka 10)!!

Ila kama mke wangu kaolewa na mume mwingine siwezi kukubali aende na mtoto wangu hata kama ana mwezi 1!!
 
Reactions: BAK
anaenda kumtunza,kumkatikia mauno kibao mpaka jasho,favor ambayo we kama mme hujapewa
 
Reactions: Mbu
...kufahamishwa ni lazima wafahamishwe lakini nisichokubaliana nacho ni kile cha kuwaambia watoto wachague kati ya Baba na Mama ni nani wampendaye.

Hakuna ulazima wowote kwa sababu sheria iko wazi kwenye hili...Ila ukija kwenye practicalities, kunakuwa challenges zake. Kuna jamaa kapewa divorce ila watoto wote 3 wamakatalia kwa mama yao na wote wakubwa tu (>10yrs old)!!
 
Reactions: BAK
tatizo ni pale anaomba kwa kuachana na bado hajaenda kwa mwingine
 
anaenda kumtunza,kumkatikia mauno kibao mpaka jasho,favor ambayo we kama mme hujapewa

Mkuu ukikubali kuingia kwenye ndoa, kuna upuuzi mwingine automatically huwezi kuuepuka...Tena unaweza kupata unafuu kwa kumtania tania na kumpamba pamba badala ya kumnunia!!
 
...kufahamishwa ni lazima wafahamishwe lakini nisichokubaliana nacho ni kile cha kuwaambia watoto wachague kati ya Baba na Mama ni nani wampendaye.

Hilo linauma sana na kwa vyovyote vile watoto watamchagua mama mana mda wote ndo wapo karibu
 
tatizo ni pale anaomba kwa kuachana na bado hajaenda kwa mwingine

That's much better,

Unajua kwa mtoto mdogo, mume wa mama ndiye baba??

Imagine mtoto wako anapata akili akiwa mikononi mwa dume jingine...Una lako hapo?
 
Hakuna ulazima wowote kwa sababu sheria iko wazi kwenye hili...Ila ukija kwenye practicalities, kunakuwa challenges zake. Kuna jamaa kapewa divorce ila watoto wote 3 wamakatalia kwa mama yao na wote wakubwa tu (>10yrs old)!!

....Hapo umenena Mkuu, kama watoto ni wakubwa na wanaelewa kinachoendelea kati ya Baba na Mama ni bora tu kuwafahamisha. Wanaweza kutia neno likasaidia katika kunusuru familia kusambaratika.

Mkuu ukikubali kuingia kwenye ndoa, kuna upuuzi mwingine automatically huwezi kuuepuka...Tena unaweza kupata unafuu kwa kumtania tania na kumpamba pamba badala ya kumnunia!!
ila utafanyaje mkuu,na mke kama huyo mi lazima nimpe changamoto
 
Mkuu, kwa uzoefu wangu..."system" zote nzuri za usasa zinalenga kumkandamiza mwanaume. System inayokulazimsha utoe child maintenace kwa kila mtoto uliyemzaa bila kujali ex-wife wako anaishi na ka boyfriend tu tena jobless..., hili ni jaka moyo bana!

Mkuu hapo sawa,na hakutakuwa na migongano,ila sheria haisaidii kwa usuluhishi ila hiari ya kila moyo wa mtu

...swadaktaa neno juu ya msitari!
 
That's much better,

Unajua kwa mtoto mdogo, mume wa mama ndiye baba??

Imagine mtoto wako anapata akili akiwa mikononi mwa dume jingine...Una lako hapo?
Ila akija kugundua baba aliyemlea si wake atakutafuta,sema tu atagunduaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…