Mwamba katumia nguvu kubwa sana pasipo sababu. Kama kaliwa uroda ni kaliwa tu huwezi badilisha ilo jambo.
Hapo alitakiwa kufahamu kisa alafu apimie uzito na majibu ya ziada. Akiona hakieleweki, aanze utaratibu wa maisha mengine tu.
Ila jambo lingine vijana wengi wameoa wapenzi wa vijana wengine. Kamwe usitake kumuoa mwanamke, usioe mwanamke uliyekutana naye ghafla jipe muda angalau miaka 3 - 5.
Sasa mtu 7nakutana na binti kamaliza chuo unamrukia ghafla mara miezi mitatu ndoa, huko chuo alikuwa anaishi na mhuni wake kuanzia second year hadi final year, wewe unaokna umepata mk3 kumbe umenyang'anya mtu mpenzi wake.
Huyo lazima akachepuke tu, huna ujanja hapo na hayo ni umejitakia mwenyewe.