DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Na alivokua msengee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha ngoja nikusimulie yaliyotokea kijijini kwetu miaka hiyo, kuna jamaa mmoja dada yake alikuwa kaolewa, siku moja huyo dada akapigwa na mumewe, akatoka kwake analia hadi nyumbani kwao, akamkuta kaka yake nyumbani (huyo kaka yake alikuwa anasifika kwa ubabe), akamuuliza dada yake amekuwaje dada mtu kamsimulia alivyokung'utwa na mumewe, jamaa akamwambia twende nikamwadabishe mshenzi huyo, hao wakakokotana hadi nyumbani kwa dada yake, kilichotokea kichapo wakatembezewa wote dada mtu na kaka yake. Jamaa akiwa kwenye kijiwe cha kucheza draft utani ukianza raia wanamkumbusha kichapo alicho pokea yeye na dada yake, jamaa alikuwa anakiri kuwa kajamaa kaliwakung'uta aisee. Ukiangalia mwili wa aliyekung'utwa na aliyekung'uta ni mfano wa mlima na kichuguu.Angekua sister angu kafanyiwa ivo kesho yake ningekua nguvuni
kweli uchawi upo asee hahahahHahaha ngoja nikusimulie yaliyotokea kijijini kwetu miaka hiyo, kuna jamaa mmoja dada yake alikuwa kaolewa, siku moja huyo dada akapigwa na mumewe, akatoka kwake analia hadi nyumbani kwao, akamkuta kaka yake nyumbani (huyo kaka yake alikuwa anasifika kwa ubabe), akamuuliza dada yake amekuwaje dada mtu kamsimulia alivyokung'utwa na mumewe, jamaa akamwambia twende nikamwadabishe mshenzi huyo, hao wakakokotana hadi nyumbani kwa dada yake, kilichotokea kichapo wakatembezewa wote dada mtu na kaka yake. Jamaa akiwa kwenye kijiwe cha kucheza draft utani ukianza raia wanamkumbusha kichapo alicho pokea yeye na dada yake, jamaa alikuwa anakiri kuwa kajamaa kaliwakung'uta aisee. Ukiangalia mwili wa aliyekung'utwa na aliyekung'uta ni mfano wa mlima na kichuguu.