Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Huyo mbaba nae anatia aibu.. mnyanyasaji.. mp*mbavu, mke amuache libaki lenyewe.. akwende zake. *henzwi taipu.. kwani ndoa lazima.. aibu kwake sasa.. hata kazi afukuzwe mnyanyasaji wa wanawake.
Mkuu mbona povu hivi; au huyo unayekwidwa ni wewe nini? 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Huyo jamaa mi namuelewa vizuri sana sana sababu nilishapitiaga situation ya aina hio. Mwanamke anakuwa kiburii yani hasikii usiombe halafu unakuta kuna boya wana mawasiliano anatongozwa anatoa ushirikiano full charge. Hapo ushamfumania mara kibao anakuwa anafuta futa meseji unapoteza imani naye hata akiaga anaenda mahali roho inakuwa haitulii maana kila ukimpa nafasi unajua ataenda kuchakatwa. Ule uchungu na hofu ndio unapelekea hasira ya kumfumua iwe juu hasa kwa kosa kama kutopokea simu kwa wakati. In real sense mwanamke hapokei simu toka saa 12 hadi saa 4 usiku!?
 
Mke wangu popote ulipo hata kama ni juu ya kifua cha mwizi wangu wa penzi tafadhali pokea simu tu maana nitakuja nikufumue hadi udanje.😂😂😂😂
 
Unapigia mtu missed call 16 halafu hakuingizii hata shilingi kumi?? kweli ndoa zina vituko. Missed call 3 tu zinatosha kumrudisha mwanamke kwao akafunzwe adabu na shangazi zake.
 
Mume wa kupiga hivi Mungu naomba asinipe
Halafu wanaume mnakuwaga wepesi sana kupiga kwani nyie mnapigwaga na nanii
Ukileta upumbavu unapigwa tu, mwanamke tunu yake ni stara na adabu tu. Ukivikosa hivyo maama yake 100% utakosa busara na kuwa mtu wa hovyo.

1.Sasa mtu kakupigia 16 missed calls anahoji shida ilikuwa nini unaanza kauli zako za mkato kuonesha hujajutia kwa lolote lie. Unajibu kunya kama unajibizana na shoga yako.

2. Unyumba umeanza tabia ya kumnyima na kauli za kejeli so ameanza kushtukia mabadiliko ya hio tabia. Kwa intelijensia yake amekuta unachat na boya wako flani dm ila huwa unafuta meseji kila wakati.

3. Umepunguza ukaribu na kuanza ulalamishi juu ya kila afanyacho. Unamuona kama less competent.
 
Bora mtu uoe form four failure, hao mabinti waliomaliza chuo ndo wanapigwaga miti balaa, na malekcha mara na walimu wenzao, mara na watu wa mitaani, mara na vigogo, mara sometimes wanajiuza huko chuoni.
 
Kwanzaa ukimuangalia huyoo mwanamkee hapoo chini Ni Kama anasema" dunia simama nishukeee"..😄😄Huyoo mwanaumee hajitambuii...Eti nilimruhusuu mwenyewe.. wivu wa kijingaa kbsaaa huooo
 
We ndo mwanaume kamili sasa, hatutakiwi kuwa myoronyoro, afu cha ajabu Kuna wanaume wanamtetea huyo binti, wanaume gani nyie laini laini hivyo? Au hamdindishi?
 
Aliyataka Wacha akabwetangu Asubuhi Simu hupokei,

Hadi saa nne usiku mke WA mtu haujarudi nyumbani😡😡😡😡
 
Ndoa sio kitu cha maisha. Niliwahi kuandika humu serikali ibadili sheria kuruhusu ndoa za mikataba (contract marriages).
 
When commonsense is not common.Huyu jamaa ni mjinga haswa.Kamruhusu mwenyewe kwenda alipokwenda na kakaa mpaka saa 4 usiku.Solution ni kumkaba?Anatia aibu wanaume. Huwezi ku deal na ndoa kistaarabu usioe.
Acha ujinga alimruhush kwenda ila hakumruhusu

Kukaa hadi saa nne usikuHakumruhusu kutokupokea Simu tangu Asubuhi hadi saa nne usiku.

Acha kuwa mume bwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…