Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Jamaa kwa kutufungasha yupo vizuri.Na akiona hamna habari naye anaaga kuondoka JF!😎Kuna uzi anasema muda huu yuko kanisani akiandika majina adui zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kwa kutufungasha yupo vizuri.Na akiona hamna habari naye anaaga kuondoka JF!😎Kuna uzi anasema muda huu yuko kanisani akiandika majina adui zake
Nafikiri hii inaenda for both sides, sii kwa wanaume tuu. Hivi vilio vyote ni sababu ya matarijio na pressure kutoka kwenye jamii, wahusika wanapoingia humo halaf wanakutana na story tofauti mambo yanakuwq sio mamboTatizo watu wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa na matarajio makubwa hasa wanaume, someone needs to tell these men that expectations lead to disappointments most men are too demanding more than what women can offer, yani wao wanaamini kwamba mwanamke aliumbwa na sifa zote ambazo mwanaume anazipenda
Tatizo watu wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa na matarajio makubwa hasa wanaume, someone needs to tell these men that expectations lead to disappointments most men are too demanding more than what women can offer, yani wao wanaamini kwamba mwanamke aliumbwa na sifa zote ambazo mwanaume anazipenda
Mbona tupo wengi mkuu?Tafuta MTU akupe mapenzi hakuna watu wazuri Kama wanaume
Sema ndo hivyo Good man are rare.
Jadda ni mtu makini sana anaetumia akili kutazama mambo.Sasa unamsaidiaje Huyo Dada 😁
Jadda ni mtu makini sana anaetumia akili kutazama mambo.
Sio kila mwanamke anataka ndoa mkuu , dunia ya sasa kila kitu kinaenda kwa usawa ukitaka mwanamke wa aina fulani inakupasa na wewe uwe hivyo , sio unataka mwanamke akuheshimu na afanye kazi zote za ndani na wewe unashindwa kumheshimu na kumhudumia ipasavyo .Kutumia akili na ujuaji vinaweza kuendana au kufanana ingekuwa anatumia akili angekuwa ameshapata MTU tayari wa kumtuliza.
Watu wengi wanaelea hawajatua MTU siku akitua hawezi kuona kasoro za watu
Mkuu sidhani kama wanawake kupenda harusi kunahusiana na wao kuwa na matarajio makubwa bali ni ile kutaka kuonekana tu ila most of them are very much aware wanaenda kudeal na viumbe wa aina gani huko ndoani, maana wanajua kuvumilia tabia na akili za wanaume ila shida inakuja kwa wanaume walijengewa ile mentality ya kwamba mwanamke siku zote anatakiwa kuwa decent, ndio maana akienda astray kidogo tu malalamiko na matusi yanaanza nadhani wewe mwenyewe unajionea dunia ya leo ni jinsia gani inaongoza kwa malalamiko kwenye ndoaKwamba wanaume wana matarajio makubwa kuliko wanawake?Mmmmff!Haohao wanawake wanaopenda harusi kuliko ndoa?
Mkuu labda unisaidie kwenye jamii za leo ni jinsia gani inaongoza kwa malalamiko kwenye ndoaNafikiri hii inaenda for both sides, sii kwa wanaume tuu. Hivi vilio vyote ni sababu ya matarijio na pressure kutoka kwenye jamii, wahusika wanapoingia humo halaf wanakutana na story tofauti mambo yanakuwq sio mambo
Mimi naongelea wanaume kuwa na matarajio makubwa ndoani mkuuTafuta MTU akupe mapenzi hakuna watu wazuri Kama wanaume
Sema ndo hivyo Good man are rare.
Mwanaume ni mtawala upende au uchukie.Sasa mwanaume anakuwa anasubiri nini apate kwa mwanamke zaidi ya ngono na kupata watoto?Cha zaidi kabisa wanawake wanachoweza kutoa na kikaonekana ni zaidi ya mwanaume ni nini?Mkuu sidhani kama wanawake kupenda harusi kunahusiana na wao kuwa na matarajio makubwa bali ni ile kutaka kuonekana tu ila most of them are very much aware wanaenda kudeal na viumbe wa aina gani huko ndoani, maana wanajua kuvumilia tabia na akili za wanaume ila shida inakuja kwa wanaume walijengewa ile mentality ya kwamba mwanamke siku zote anatakiwa kuwa decent, ndio maana akienda astray kidogo tu malalamiko na matusi yanaanza nadhani wewe mwenyewe unajionea dunia ya leo ni jinsia gani inaongoza kwa malalamiko kwenye ndoa
Mkuu kwani humo kwenye ndoa wanaume hawapati ngono na watoto, kwani haya malalamiko yote ya wanaume walioko kwenye ndoa yanahusu kukosa ngono na watoto pekee, kwani sasa hivi wanawake wanatoa nini ambacho kwenu hakionekani na mnataka watoe nini ambacho kwenu kinaonekana hebu nisaidie hapoMwanaume ni mtawala upende au uchukie.Sasa mwanaume anakuwa anasubiri nini apate kwa mwanamke zaidi ya ngono na kupata watoto?Cha zaidi kabisa wanawake wanachoweza kutoa na kikaonekana ni zaidi ya mwanaume ni nini?