Ndoa zimetengeneza vichaa wengi sana mtaani

Nafikiri hii inaenda for both sides, sii kwa wanaume tuu. Hivi vilio vyote ni sababu ya matarijio na pressure kutoka kwenye jamii, wahusika wanapoingia humo halaf wanakutana na story tofauti mambo yanakuwq sio mambo
 
Tafuta MTU akupe mapenzi hakuna watu wazuri Kama wanaume

Sema ndo hivyo Good man are rare.
 
Jadda ni mtu makini sana anaetumia akili kutazama mambo.

Kutumia akili na ujuaji vinaweza kuendana au kufanana ingekuwa anatumia akili angekuwa ameshapata MTU tayari wa kumtuliza.

Watu wengi wanaelea hawajatua MTU siku akitua hawezi kuona kasoro za watu
 
Kutumia akili na ujuaji vinaweza kuendana au kufanana ingekuwa anatumia akili angekuwa ameshapata MTU tayari wa kumtuliza.

Watu wengi wanaelea hawajatua MTU siku akitua hawezi kuona kasoro za watu
Sio kila mwanamke anataka ndoa mkuu , dunia ya sasa kila kitu kinaenda kwa usawa ukitaka mwanamke wa aina fulani inakupasa na wewe uwe hivyo , sio unataka mwanamke akuheshimu na afanye kazi zote za ndani na wewe unashindwa kumheshimu na kumhudumia ipasavyo .

Ukitaka mtafutaji inakupasa kila jambo liende kwa usawa .
 
Kwamba wanaume wana matarajio makubwa kuliko wanawake?Mmmmff!Haohao wanawake wanaopenda harusi kuliko ndoa?
Mkuu sidhani kama wanawake kupenda harusi kunahusiana na wao kuwa na matarajio makubwa bali ni ile kutaka kuonekana tu ila most of them are very much aware wanaenda kudeal na viumbe wa aina gani huko ndoani, maana wanajua kuvumilia tabia na akili za wanaume ila shida inakuja kwa wanaume walijengewa ile mentality ya kwamba mwanamke siku zote anatakiwa kuwa decent, ndio maana akienda astray kidogo tu malalamiko na matusi yanaanza nadhani wewe mwenyewe unajionea dunia ya leo ni jinsia gani inaongoza kwa malalamiko kwenye ndoa
 
Nafikiri hii inaenda for both sides, sii kwa wanaume tuu. Hivi vilio vyote ni sababu ya matarijio na pressure kutoka kwenye jamii, wahusika wanapoingia humo halaf wanakutana na story tofauti mambo yanakuwq sio mambo
Mkuu labda unisaidie kwenye jamii za leo ni jinsia gani inaongoza kwa malalamiko kwenye ndoa
 
Mwanaume ni mtawala upende au uchukie.Sasa mwanaume anakuwa anasubiri nini apate kwa mwanamke zaidi ya ngono na kupata watoto?Cha zaidi kabisa wanawake wanachoweza kutoa na kikaonekana ni zaidi ya mwanaume ni nini?
 
Mkuu kwani humo kwenye ndoa wanaume hawapati ngono na watoto, kwani haya malalamiko yote ya wanaume walioko kwenye ndoa yanahusu kukosa ngono na watoto pekee, kwani sasa hivi wanawake wanatoa nini ambacho kwenu hakionekani na mnataka watoe nini ambacho kwenu kinaonekana hebu nisaidie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…