Ndoto: Hivi mwanasiasa wa kiume anawezaje kushinda Miss Tanzania?

Tulio toka kapa tutaendelea hitimisho la huu uzi wako
 
Mmmh
Hebu amka kwanza
 
Wewe ndie uliyetabiri ajali ya ndege?
 
Huyu mtu ndoto zake zote zinatimia! Kama ni hatari tuambie tuombee Taifa ila kama ni vinginevyo ngoja tuwe na subira. Ndio maana wenye akili nyakati hizi hazitaki ushabiki! Mambo yanaweza kubadilika ukakosa pa kuweka sura.
 
Herufi sijaiweka hapa maana nikiiweka tu kila mtu atamjua,herufi naogopa kuitaja maana ntaleta taharuki kwa muhusika.Lakini sijui nini kitamtokea MAMA hausiki kabisa na hii ndoto mwacheni ale BATA bila wasi wasi
Usitaje ila toa hint ya tukio mfano "mwanasiasa mkubwa atakamatwa akichepuka lodge"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…