Mabelreign
Member
- Apr 18, 2022
- 83
- 147
[emoji848].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwezi wa 12 ni wa mwaka gani?Asalam aleykum!
Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia minong'ono ya kuhusu MISS Tanzania halafu mashindano yenyewe yanafanyika mwezi wa kumi na mbili yaani December.
Basi ghafla kuna mtu akanifungulia file ananionyesha washiriki na watu watatu ambao wanaweza kushinda. File lilikuwa na picha na majina ya wagombea. Washiriki walikuwa wengi lakini nikamulikiwa taa kwenye watu watatu ikawa kama wengine hawaonekani vizuri wamezibwa na kiza.
Kuna mtu mmoja sasa katika wale watu watatu taa ikamulika sana kwenye jina na picha yake coz yeye ndio atayeshinda, ilimulika mfano wa indicator za gari zinavyoashiria kwamba gari inapita kulia au kushoto, yaani ilikuwa inafanya muli muli muli muli, jambo lililonishangaza ni:
1. Mwanasiasa wa kiume anawezaje kuja kushinda MISS TANZANIA?
2. Je ni kweli kwamba mwezi wa kumi na mbili kutakuwa na shindano la Miss Tanzania.
3. Kwanini herufi ya mwanzo ya jina lake ilikuwa inaleta majina tofautu tofauti mengi kwa staili ya kimuli muli mpaka nikashindwa kulisoma vizuri, yaani jina ni la fulani lakini likawa linajichanganya changanya na majina mengine lakini herufi ya mwanzo ni hiyohiyo?
Yaani kama ni K au R ni hiyo hiyo
NB: Haya sio maono bali ni ndoto tu ya kawaida jamani lakini inaweza kuwa na uhalisia wa jambo fulani
Hahahhahaha hahahahahChoo cha kike hiki!
Nimecheka kwa sauti eti tuandae maturubai ,,,hahaahhaa waache wauane tuTuandae maturubai.. Ndoto yako ya ndege imetupa fundisho kubwa
Hahaha jamani wwHebu maneno, maono na tabiri zenu zikatimie jamani
Huku mtaani hali ni noma aisee, bora nyie mlio kwenye systemHahaha jamani ww
Fafanua nyoka wa njia ndefuNaaam naaam naaam Kaka Mkubwa apumzike sasa FDR yu njiani dalili za awali tayari tumekana ripoti hadharani na hata yule nyoka wa njia ndefu siyo yule wetu tuliyemfuga ukweni.
System km systemHuku mtaani hali ni noma aisee, bora nyie mlio kwenye system
Nyie angalau mna ka afadhali kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]System km system
SgrFafanua nyoka wa njia ndefu
Katika kumbu kumbu zako jina la kwnza ni herufi gani kama huto jaliJamani hii ni ndoto tu ya kawaida sio maono wala utabiri
Nilipoachwa ni FDRNaaam naaam naaam Kaka Mkubwa apumzike sasa FDR yu njiani dalili za awali tayari tumekana ripoti hadharani na hata yule nyoka wa njia ndefu siyo yule wetu tuliyemfuga ukweni.
Rost Tamu AzizK for Kassim
R for?