Ndoto: Hivi mwanasiasa wa kiume anawezaje kushinda Miss Tanzania?

Ndoto: Hivi mwanasiasa wa kiume anawezaje kushinda Miss Tanzania?

Tunaitafuta January au miss alishakufa na hatujui [emoji23]
 
Safari hii maharage ya ukweni Kama unataka kuingia chaka Ila nisimalize maneno[emoji850]zimebaki siku mbili.
 
Mwaka mpya na mambo mapya.

Tunasubiri Kwa hamu. Aamen
 
Mwezi wa 12 ni wa mwaka gani?
Inawezekana kwa kuwa rais ni mwanamke, basi mwanamme atakayemfuatia ndio anaonekana kama anautwaa umiss? Kuwa December sio tatizo, nakimbuka uchaguzi fulani mgombea mwenza wa cuf alifariki, uchaguzi ukasogezwa mbele na ukafanywa December, nafikiri ilikuwa 2005, hivyo hiyo shindano pengine ndio uchaguzi.
Wewe umeoneshwa kila kitu, unaogopa tu kuweka wazi.
Alikuwa mgombea mwenza wa CDM
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom