Ndoto: Hivi mwanasiasa wa kiume anawezaje kushinda Miss Tanzania?

Ndoto: Hivi mwanasiasa wa kiume anawezaje kushinda Miss Tanzania?

Jitihada zingine hizi...
Mmeshindwa Qatar, sasa mnakuja hata kwenye ma miss wetu???
 
1. Mwanasiasa wa kiume anawezaje kuja kushinda MISS TANZANIA?
Nafasi ya mtu wa juu ambaye ni mwanamke inaenda kuchukuliwa na mwanaume.ndoto mbaya sana hii ila hakuna budi kutokea coz Kila jambo linakuwa limepangwa na wenye nguvu ya kupanga na kutimiza.

Niishie hapa aisee ni ngumu kuilezea . mpaka mtoa mada kaficha code.Ikiwa kwa mapenzi yangu hii ndoto itimie tuzidi kuona mengi 😱😱😱
 
Unamaanisha kwamba vita ya Bashiru na malkia mkuu mshindi ni Bashiru sio!!?

Halafu Mwl nyerere Foundation ndio watamwongoza sio !!?yaani nyuma ya pazia si ndio!!?
Kutakua na vita kali..ila mshindi ni wa kiume na ni mwanasiasa..herufi kuchanganyana maana yake ni kwamba atakashinda ataongozwa na mtu mwingine
Oya
 
Back
Top Bottom