Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Naomba uniotee na mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Terepathy ndo nn mkuu au ulimaanisha (Telepathy ?) Afu maana ya telepathy ni mawasiliano ya mbali ya kimawazo sasa hapa inaingia vipi mkuu?Terepathy.... Hiyo
Disorder [emoji15] [emoji15]? Wacha utani mkuu kuna disorder inayoweza kukupa future versions?Inaitwa telepath..hii ni namna unavyokuwa connected na supernatural power...(God) kwahiyo ni namna gani onavyofanya kazi bado wasaikolojia wa ulimwengu wanahangaika kupata jawabu...na Mara nyingi hivi vitu hutokea hata kwa watu wanaofanya meditation....but majibu mengine utayoyapata najua yatapitia kwenye nature of your family + how environment yalivyokutengeneza....pamoja na personality ...pia inaweza kuwa ni sehemu ya disorder
Wengine hatujawah fanya hizo meditation lakin hutokea automatic tuKama unaota ndoto zinazohusisha ndugu zako waliokwisha kufa, basi fahamu kuwa jicho lako la tatu limeanza kufunguka. Ndiyo maana nilitaka kujua dini yako. Ndoto in dalili za mwanzo . Hatua zitakazofuata in kuwaona wafu (ghosts), pia utaona hata viumbe ambao hawapo katika maisha yetu ya kwawaida. Hapo elewa kuwa pineal gland yako imekuwa activated. Tatizo ulilo nalo husababishwa na vitu hivi:-- kufanya meditation ya kutoka kwenye mwili wako bila ya field protection. 2. Ulaji wa aina Fulani ya vyakula hasa matunda au juice yenye rangi nyekundu au zambarau, ambayo huifanya pineal gland kuwa activated. 3. Kujisomea kwa muda mrefu saa za usiku ikiwa in pamoja na kukariri , humfanya msomi kuingia katika trance ambayo hugeuka kuwa meditation. 4. Uvutaji wa bangi (cannabis), in njia mojawapo ya city vinavyoactivate pineal gland na hata kufunguka jicho la tatu. Ndiyo maana wavutaji wa bangi huwa wanaonekana wamechanganyikiwa na wengine huongea peke yao.. Kama tatizo hili lilikuanzia shuleni, ujue in kwa ajili ya kusoma, baada ya muda litaisha. Kama ni vyakula, epuka ulaji wa matunda au juice yenye rangi ya zambarau.. Kama ulifanya meditation yoyote kama vile yoga, kuondoka katika hali hiyo, itakuwa ni vigimu kwa sababu kama ulifanya meditation bila field protection, itakuwa alien energy imeingia na kupossess mwili wako. Hizo ndoto so ndoto bali unaonyeshwa mambo katika ulimwengu wa roho ambapo hujui in roho ipi inyokuletea hizo ndoto.. Ushauri wangu in kuwa, kama we we no mkristo , nenda kanisani ukaombewe maombi ya kubumoa madhabahu iliyoingia ndani yako. Huyo ni mmoja kati ya malaika wabaya(fallen angels). Wala usidanganyike kuwa jicho in kipawa. Kipawa toka kwa mungu hakiwezi kukufanya uone nduguzo walokufa, wala watu wanaotarajia kufa. Je, unaonaje kama ukiota kumhusu make au mtoto wako.? Ndugu elewa hiyo in roho inayokupeleka katika mateso na hatimaye kuvaa kitanzi. Wahi kanisani uvunje madhabahu hiyo...Angalizo:- Tafadhalini acheni kufanya meditations za kufungua jicho la tatu mtajuta..
Umezidisha English sana mkuuuKuna watu wanaexperience hii hali and they think they posses special ability. Lakini unapaswa uelewe, haya yote yanatokea on the subconscious level of the mind and without basic understanding of how human mind works you won't get a clue nachotaka kueleza.
Mosi, precognition kwakiasi kikubwa ni coincidence tu hata kama utadai ulikuwa unaona na unajua unachokielezea. Tafiti zilizofanywa kuhusu precognition zinathibitisha precognition ni coincidence na kwasababu bongo zetu zinapata taarifa labda "mtoto amepata ajali" na other day uliota event inayofanana na hii, basi kwa hali ya haraka sana mfano wa light bongo yako inajazia information uliyodokezwa. Sasa mtu wa namna hii akitokewa na hali hii mara moja huanza kuchunguza anachokiota na kitakachotokea, na kwasababu anachunguza basi kwa asilimia fulani ataona anapata ukweli na atazidi kuwa na imani kali juu ya ndoto. Hapa yapaswa ukumbuke precognition inapingana sana na law ya causality. Effect haiwezekani bila cause.
Mkuu ungetumia lugha moja ingekuwa nzuri zaidi, hapa naona kuna ujumbe mzuri lakini muandiko wako unachanganya..Kuna watu wanaexperience hii hali and they think they posses special ability. Lakini unapaswa uelewe, haya yote yanatokea on the subconscious level of the mind and without basic understanding of how human mind works you won't get a clue nachotaka kueleza.
Mosi, precognition kwakiasi kikubwa ni coincidence tu hata kama utadai ulikuwa unaona na unajua unachokielezea. Tafiti zilizofanywa kuhusu precognition zinathibitisha precognition ni coincidence na kwasababu bongo zetu zinapata taarifa labda "mtoto amepata ajali" na other day uliota event inayofanana na hii, basi kwa hali ya haraka sana mfano wa light bongo yako inajazia information uliyodokezwa. Sasa mtu wa namna hii akitokewa na hali hii mara moja huanza kuchunguza anachokiota na kitakachotokea, na kwasababu anachunguza basi kwa asilimia fulani ataona anapata ukweli na atazidi kuwa na imani kali juu ya ndoto. Hapa yapaswa ukumbuke precognition inapingana sana na law ya causality. Effect haiwezekani bila cause.