NDOTO: Kila nikiota jambo hutokea kama nilivyoota; nifanyeje?

NDOTO: Kila nikiota jambo hutokea kama nilivyoota; nifanyeje?

Inaitwa telepath..hii ni namna unavyokuwa connected na supernatural power...(God) kwahiyo ni namna gani onavyofanya kazi bado wasaikolojia wa ulimwengu wanahangaika kupata jawabu...na Mara nyingi hivi vitu hutokea hata kwa watu wanaofanya meditation....but majibu mengine utayoyapata najua yatapitia kwenye nature of your family + how environment yalivyokutengeneza....pamoja na personality ...pia inaweza kuwa ni sehemu ya disorder
Disorder [emoji15] [emoji15]? Wacha utani mkuu kuna disorder inayoweza kukupa future versions?
 
Hata mi hunitokea ,nikiota kitu lazima kitokee,niliota kuna kitu kuhusu mim na kweli kikatokea lo
 
Kama unaota ndoto zinazohusisha ndugu zako waliokwisha kufa, basi fahamu kuwa jicho lako la tatu limeanza kufunguka. Ndiyo maana nilitaka kujua dini yako. Ndoto in dalili za mwanzo . Hatua zitakazofuata in kuwaona wafu (ghosts), pia utaona hata viumbe ambao hawapo katika maisha yetu ya kwawaida. Hapo elewa kuwa pineal gland yako imekuwa activated. Tatizo ulilo nalo husababishwa na vitu hivi:-- kufanya meditation ya kutoka kwenye mwili wako bila ya field protection. 2. Ulaji wa aina Fulani ya vyakula hasa matunda au juice yenye rangi nyekundu au zambarau, ambayo huifanya pineal gland kuwa activated. 3. Kujisomea kwa muda mrefu saa za usiku ikiwa in pamoja na kukariri , humfanya msomi kuingia katika trance ambayo hugeuka kuwa meditation. 4. Uvutaji wa bangi (cannabis), in njia mojawapo ya city vinavyoactivate pineal gland na hata kufunguka jicho la tatu. Ndiyo maana wavutaji wa bangi huwa wanaonekana wamechanganyikiwa na wengine huongea peke yao.. Kama tatizo hili lilikuanzia shuleni, ujue in kwa ajili ya kusoma, baada ya muda litaisha. Kama ni vyakula, epuka ulaji wa matunda au juice yenye rangi ya zambarau.. Kama ulifanya meditation yoyote kama vile yoga, kuondoka katika hali hiyo, itakuwa ni vigimu kwa sababu kama ulifanya meditation bila field protection, itakuwa alien energy imeingia na kupossess mwili wako. Hizo ndoto so ndoto bali unaonyeshwa mambo katika ulimwengu wa roho ambapo hujui in roho ipi inyokuletea hizo ndoto.. Ushauri wangu in kuwa, kama we we no mkristo , nenda kanisani ukaombewe maombi ya kubumoa madhabahu iliyoingia ndani yako. Huyo ni mmoja kati ya malaika wabaya(fallen angels). Wala usidanganyike kuwa jicho in kipawa. Kipawa toka kwa mungu hakiwezi kukufanya uone nduguzo walokufa, wala watu wanaotarajia kufa. Je, unaonaje kama ukiota kumhusu make au mtoto wako.? Ndugu elewa hiyo in roho inayokupeleka katika mateso na hatimaye kuvaa kitanzi. Wahi kanisani uvunje madhabahu hiyo...Angalizo:- Tafadhalini acheni kufanya meditations za kufungua jicho la tatu mtajuta..
Wengine hatujawah fanya hizo meditation lakin hutokea automatic tu
Mfano mie huwa kuna siku natoka nje ya mwili sio kwamba napenda hapana maana inatishaa
 
Kuna watu wanaexperience hii hali and they think they posses special ability. Lakini unapaswa uelewe, haya yote yanatokea on the subconscious level of the mind and without basic understanding of how human mind works you won't get a clue nachotaka kueleza.

Mosi, precognition kwakiasi kikubwa ni coincidence tu hata kama utadai ulikuwa unaona na unajua unachokielezea. Tafiti zilizofanywa kuhusu precognition zinathibitisha precognition ni coincidence na kwasababu bongo zetu zinapata taarifa labda "mtoto amepata ajali" na other day uliota event inayofanana na hii, basi kwa hali ya haraka sana mfano wa light bongo yako inajazia information uliyodokezwa. Sasa mtu wa namna hii akitokewa na hali hii mara moja huanza kuchunguza anachokiota na kitakachotokea, na kwasababu anachunguza basi kwa asilimia fulani ataona anapata ukweli na atazidi kuwa na imani kali juu ya ndoto. Hapa yapaswa ukumbuke precognition inapingana sana na law ya causality. Effect haiwezekani bila cause.
Umezidisha English sana mkuuu
 
Longolongo zimekuwa nyingi jibu la Maaana hakuna ndugu baki tu nandoto zako huku ni uswahili mtupu
 
Kuna watu wanaexperience hii hali and they think they posses special ability. Lakini unapaswa uelewe, haya yote yanatokea on the subconscious level of the mind and without basic understanding of how human mind works you won't get a clue nachotaka kueleza.

Mosi, precognition kwakiasi kikubwa ni coincidence tu hata kama utadai ulikuwa unaona na unajua unachokielezea. Tafiti zilizofanywa kuhusu precognition zinathibitisha precognition ni coincidence na kwasababu bongo zetu zinapata taarifa labda "mtoto amepata ajali" na other day uliota event inayofanana na hii, basi kwa hali ya haraka sana mfano wa light bongo yako inajazia information uliyodokezwa. Sasa mtu wa namna hii akitokewa na hali hii mara moja huanza kuchunguza anachokiota na kitakachotokea, na kwasababu anachunguza basi kwa asilimia fulani ataona anapata ukweli na atazidi kuwa na imani kali juu ya ndoto. Hapa yapaswa ukumbuke precognition inapingana sana na law ya causality. Effect haiwezekani bila cause.
Mkuu ungetumia lugha moja ingekuwa nzuri zaidi, hapa naona kuna ujumbe mzuri lakini muandiko wako unachanganya..
 
Ndoto zinaweza kuwa mawazo yako, ndoto kutoka kwa Mungu, ndoto kutoka kwa shetani, ndoto kutokana na shughuli unazo zifanya

Ndoto ni njia nyepesi ya Mungu kuongea na watu wake, hivyo shetani kaiga hiyo njia ili aongee na watu

Ndoto ni ulimwengu halisi kuliko huu wa mwili, kila kitu kabla hakijatokea katika mwili kinaanzia kwanza rohoni ( ulimwengu wa roho)

Hivyo ndoto ikianza ujue ipo katika ulimwengu wa roho bado tu kutimizika katika ulimwengu wa mwili

Na sio kila ndoto lazima itokee,
Wakat mwingine unaweza jua ni Mungu kumbe siyo, hata shetani anaweza jifanya yeye ni mungu sasa usipo jua unaweza acha tuu

Unapoota ndoto yakupasa kuangalia hi ndoto ni ya kuangalia ni nzuri ama mbaya, mfano umeota labda nimepanda ndege naenda mahali fulani, huwez kemea hii ndoto, sababu ni hatua ya kuvuka mahali fulani. Hivyo ni kumuomba Mungu akufanikishe katika mahali fulani alipo kusudia

Umeota ndoto mbaya, labda mtu kafa, hii ndoto hii si ndoto nzuri halafu baada ya muda mtu anakufa

Kitu kikitokea ktk ulimwengu wa roho ni rahisi kuzuia kuliko kikija mwilini. Utaingia gharama kubwa zaidi

Sisi tumeumbwa na Mungu hivyo sisi ni miungu ya dunia hii, Mungu hawez fanya kazi bila sisi, sababu Mungu ni roho, kadhalika shetani hafanyi kazi bila kutumia mwili wa mtu sababu yy ni roho

Kama sisi tumeumbwa na Mungu na yeye ni Baba yetu, kuwa na uhakika una vinasaba vya uungu ndani yako, ndio maana ukikaa vzr na Mungu, unaweza ukakemea vitu vikatoka sababu Mungu anakaa na wewe ndani yako, unapotembea na yy anatembea unapokaa na yy ana kaa, Mungu anakuwa na wewe kila mahali,

Ni hivi kama umeona katika ndoto, kuwa umekufa, sio kuwa umekufa as kufa mwilini, umekufa rohoni, kila kitu chako kitakufa, unajua mtu akifa hawez miliki chochote, tuje katika hali halisi, mfu hawez ongea, hawezi fanya kazi, mfu anatengwa sababu si sehemu ya binadamu tena mahali pake kaburini, mfu hawezi shika hata pesa, mfu hawezi shirikiana na walio hai, hata pesa itajua huyu kafa hutozalisha kitu, kila kitu kitakufa cha kwako

Mtu aliye hai hachangamani na walio kufa, hata tukupende vipi ukifa tutakuzika tuu, wewe sio sehemu ya walio hai,

Ukiota walio kufa si nzuri pia, na uki endekeza eti nikafanye kama nilivyo waota utaandamwa na hizo roho.za mizimu, walio kufa wamekufa hawarud wakiwa hai,

Tuje mwisho kama wewe ni una uungu ndani yako jua kuwa unaweza kuumba kitu, sema tu ni madhambi yamezidi ndio maana watu wengi hawapo ktk nafasi zao katika ulimwengu wa roho,

Ndio maana kuna watu vinywa vyao vikitamka maneno mazur au mabaya usipo kuwa makini yanakupata yote, maneno ni roho, na roho ndio uzima wa kila kitu, tumia kinywa chako vzr kwa mambo mema, kujibu au kuumba jambo jipya,
Ukinena baya shetani anapata uhalali wa kulifanya liwe halisi, huko juu nimesema kuwa hawez fanya kazi hadi atumie mwili, au maneno yako,

Sasa hata mtu akikunenea neno baya hakikisha unabatilisha hilo neno hapo hapo lisije kukupata

Tuje ktk ndoto, ndoto mbaya una uwezo wa kuibatilisha isitokee

Mungu huwa hafanyi kitu bila kuwaambia watumishi wake kwanza, sasa ni wewe jinsi ya kuomba, ni wewe jinsi ya kulifanya litokee au lisitokee.
Kumbuka wewe umeumbwa na Mungu una uungu ndani yako kama shetani hajakuwahi

Hivyo kitu kikitokea 100%wewe wa kulaumiwa,.kwanini hukuomba? Kwanini hukuzuia kisitokee,

Hakikisha unakaa vizuri na Mungu
Mungu anapenda utii.
Ukimtii Mungu atakufunulia mambo mengi,
Mungu atusaidie tuwe watii mbele zake.

Kuna ndoto za moja kwa moja hazihitaji fasir na kuna ndoto za mafumbo. Hivyo omba kwa Mungu vzr
 
Back
Top Bottom