Kama unaota ndoto zinazohusisha ndugu zako waliokwisha kufa, basi fahamu kuwa jicho lako la tatu limeanza kufunguka. Ndiyo maana nilitaka kujua dini yako. Ndoto in dalili za mwanzo . Hatua zitakazofuata in kuwaona wafu (ghosts), pia utaona hata viumbe ambao hawapo katika maisha yetu ya kwawaida. Hapo elewa kuwa pineal gland yako imekuwa activated. Tatizo ulilo nalo husababishwa na vitu hivi:-- kufanya meditation ya kutoka kwenye mwili wako bila ya field protection. 2. Ulaji wa aina Fulani ya vyakula hasa matunda au juice yenye rangi nyekundu au zambarau, ambayo huifanya pineal gland kuwa activated. 3. Kujisomea kwa muda mrefu saa za usiku ikiwa in pamoja na kukariri , humfanya msomi kuingia katika trance ambayo hugeuka kuwa meditation. 4. Uvutaji wa bangi (cannabis), in njia mojawapo ya city vinavyoactivate pineal gland na hata kufunguka jicho la tatu. Ndiyo maana wavutaji wa bangi huwa wanaonekana wamechanganyikiwa na wengine huongea peke yao.. Kama tatizo hili lilikuanzia shuleni, ujue in kwa ajili ya kusoma, baada ya muda litaisha. Kama ni vyakula, epuka ulaji wa matunda au juice yenye rangi ya zambarau.. Kama ulifanya meditation yoyote kama vile yoga, kuondoka katika hali hiyo, itakuwa ni vigimu kwa sababu kama ulifanya meditation bila field protection, itakuwa alien energy imeingia na kupossess mwili wako. Hizo ndoto so ndoto bali unaonyeshwa mambo katika ulimwengu wa roho ambapo hujui in roho ipi inyokuletea hizo ndoto.. Ushauri wangu in kuwa, kama we we no mkristo , nenda kanisani ukaombewe maombi ya kubumoa madhabahu iliyoingia ndani yako. Huyo ni mmoja kati ya malaika wabaya(fallen angels). Wala usidanganyike kuwa jicho in kipawa. Kipawa toka kwa mungu hakiwezi kukufanya uone nduguzo walokufa, wala watu wanaotarajia kufa. Je, unaonaje kama ukiota kumhusu make au mtoto wako.? Ndugu elewa hiyo in roho inayokupeleka katika mateso na hatimaye kuvaa kitanzi. Wahi kanisani uvunje madhabahu hiyo...Angalizo:- Tafadhalini acheni kufanya meditations za kufungua jicho la tatu mtajuta..