Mwelewa
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 2,343
- 3,284
Kuna watu wanaexperience hii hali and they think they posses special ability. Lakini unapaswa uelewe, haya yote yanatokea on the subconscious level of the mind and without basic understanding of how human mind works you won't get a clue nachotaka kueleza.
Mosi, precognition kwakiasi kikubwa ni coincidence tu hata kama utadai ulikuwa unaona na unajua unachokielezea. Tafiti zilizofanywa kuhusu precognition zinathibitisha precognition ni coincidence na kwasababu bongo zetu zinapata taarifa labda "mtoto amepata ajali" na other day uliota event inayofanana na hii, basi kwa hali ya haraka sana mfano wa light bongo yako inajazia information uliyodokezwa. Sasa mtu wa namna hii akitokewa na hali hii mara moja huanza kuchunguza anachokiota na kitakachotokea, na kwasababu anachunguza basi kwa asilimia fulani ataona anapata ukweli na atazidi kuwa na imani kali juu ya ndoto. Hapa yapaswa ukumbuke precognition inapingana sana na law ya causality. Effect haiwezekani bila cause.