Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Mwenye ujuzi anisaidie jambo hili maana linanitesa mno wakati mwingine nakonda kabisa.
Jambo hili lilishamiri nilipokuwa sekondari miaka kadhaa iliyopita, yaani nikilala usingizi mchana ama usiku usingizi mzuri ule tulivu usiokuwa na maruwe ruwe nikaota jambo lolote kama halipo basi week, muda fulani ukipita ama siku mbili haziishi hutokea bila kupinda yaani kama movie yake inajirudia.
Ikiwa nikaota mambo anayonifanyia mtu jambo lolote inakuwa ni hivyo hata nikijisahaulisha najidanganya ni hivyo.
Watu wa karibu yangu ama ninaowafahamu kwa ukaribu naota mambo yao yanatokea wakati mwingine nawaambia hawachukulii serious ila baadae hutokea hadi nimeacha siwaambii tena. [emoji43]
Niliwahi kuwa na mchumba nikaota ni mshirikina nikapuuzia kesho yake alinitembelea nikamuacha nikaenda dukani kumletea soda kurudi nikambamba laivu akirushia mambo yake dirishani na mambo mengi tu nikaaachana naye. Hata ikiwa ni mpenzi nikiota anacheat na mtu wa hivi na vile nikiacha naacha tu but nikichunguza nakuta ni 100%. Yaani kwenye mahusiano ndo inanitesa sana maana naota vitu nikijikausha najikausha tu but ni fact unakuta unakaa na mtu hujamkamata ila mipango kando yake unaijua, plan zake najipa moyo tu maana utaanzaje kabla hujamkamata but baadae hutokea tu.
Marafiki ndugu wanaojifanya wananipenda naota mambo mengi juu ya unafiki wao na wanachofanya ila NASALI SANA Mungu aniondolee hayo mawazo juu yao but at last reality haikwepeki.
Mtu akiwa anafanya jambo lake kama ni wa karibu yangu najua matokeo ila nanyamaza tu maana... Hata nikipoteza kitu naota alochukua ama namjua na kama simjui picha na sura yake naviona siku ikitokea nikakutana naye namjua.
NAJITAHIDI KUSWALI MUNGU ANIPUNGUZIE HILI JAMBO LINANISUMBUA
Wajuzi nisaidieni.