Ndoto Ndoto Ndoto Jamani Ndoto hizi, Yaani dah! Yaani Duh!

zlivyopandana zikajifungua wtt wangap isije kuwa zilikuwa mgumba

  • :-*
 
Nimeota sisiem wakimwaga ugali na mboga wakati sie wengine hatujala, ati tukose wote kisa hawapendi mwingine ale nao ati hicho ni chakula cha familia ndoto hii nayo sijui inaonyesha nini...?
 
Nimeota waandishi wa habari wa magazeti yaliyofungiwa wakiendelea kufanya kazi katika magazeti mengine.
 
Nimeota Tanzania hakuna hata tembo mmoja eti wameisha>
 

mm nimeota natafsiri ndoto yako kama yusuph.... eti utaisema ccm n viongozi wake kimafumbo.
 
nimeota mwsho wa dunia umefka mbaya zaid wa2 hawa2bu dhamb zao,ni balaa huo moto
 
mbona ujasema ndoto yako ya kuoa bibi wa miaka 60 Lisa ana pesa na mbunge ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…