ysm.WISEMAN
Member
- Aug 28, 2013
- 79
- 34
cjalala ucku kucha nlikuwa naota kuwa mtatupia tu hii thread ktk jukwaa letu...!!!
kumbe kweli....!!!????
kumbe kweli....!!!????
Umeona eeh! Hata mi huwa nashangaa mara nyingi nikiota ndoto zangu zinaendana na ukweli. Kwa mfano juzi niliota Waheshimiwa wamefutiwa adhabu mjengoni baada ya kiti kupewa ushauri kuwa kilitumia mamlaka vibaya na ubabe pasipo ulazima wowote.nimezipenda ndoto zako zinaendana na ukweli wa majuha flan.
Ni mimi nilikuwa nimewaficha watu wote ndo maana ukajikuta uko peke yako
Nimeota leo usiku, kuwa kuna mtu kauliza JF hili swali kufungua kumbe kweli!!!!Hivi ndoto ni mchana au hata usiku?..-
Nimeota leo usiku, kuwa kuna mtu kauliza JF hili swali kufungua kumbe kweli!!!!