amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 918
- Thread starter
- #21
Nimeota Tume huru imeundwa kuchunguza tukio la kuteswa na kumwagiwa tindikali dumu zima. halafu sili- kali ikaxema itatoa tamko, (Nikaamka) nkaenda kukojoa nlivyorud kulala nkaota tena miaka mitano imepita sili-kali haijatoa tamko. Yani hiz ndoto hizi dah! Duh!
Aisee ndoto hizi jamani ndoto zina makusudi kweli. Hapohapo mi nikaota imeundwa tume kuchunguza tume iliyochunguza tukio hilo na kuunda tume nyingine itakayotoa tamko la mwisho. Ndoto hizi jamani ndoto! Yaani dah! Yaani duh! Mpaka naogopa kulala kwa ajili ya ndoto.