Ndoto Ndoto Ndoto Jamani Ndoto hizi, Yaani dah! Yaani Duh!

Ndoto Ndoto Ndoto Jamani Ndoto hizi, Yaani dah! Yaani Duh!

Mm sipo mkuu napita tuu

Acha uwoga mkuu, yaani unaogopa hata kutusimulia ndoto! Kweli unatupita hivihivi? Haya bana, ila mi nimeota unaogopa tindikali na mabwepande. Ndoto hizi jamani!
 
Mi nimeota mtu mmoja mkubwa mwenye mamlaka akisema, "punda afe ila mzigo wa bwana ufike na yeyote atakaepanua domo lake apondwe nyundo tu, tumechoka sasa"
 
Mm nmeota syria limekua shamba la miwa coz wa2 wte wamehasilika na sumu
 
Nimeota nimetekwa wakati nasimulia ndoto ya majina ya vigogo wa madawa ya kulevya kwenye ndoto.
 
ndoto yako inafanana na ya kwangu sema mimi nimeota ndoto naenda kulala halafu nilivyo lala nikaota tena kwa hiyo nilikuwa na ndoto tatu zimepandana.

Endeleeni kulala mna mambo mengi sana mtayafanikisha
 
Uliyeleta thread ni mwana falsafa makini ika majitu yashaiharibu unaonekana huna jipya. Hivi vyuo vinafunguliwa lini hawa form 6 waww bize na assignments na kuclear supp??

Kwa hiyo na wewe ndo umeota hivyo?

Mwenzako kasimulia ndoto yake alafu kawaambia wengine nao wasimulie ndoto zao sasa wewe unataka ndoto zote sifanane?
 
Hizi ndoto haziishi! Nimeota maaskari feki wanazidi kuongezeka nchini.
 
Nimeota sera ya chama fulani hata ukitoka nje ya mada kiasi gani ili mradi ukisifia chama hicho na kukandia vyama vingine unapigwa makofi bungeni na kupandishwa cheo mara moja.
 
Nimeota wewe unayesoma comment hii ulidondoka toka juu ya mbuyu,ulipotua chini ukapasuka tumbo na wakatoka watoto wawili mapacha,mmoja LULU(doto) na WEMA(kurwa).
 
cjalala uckukucha nlikuwa naitaka kuwa mtatupia tu hii thread ktk jukwaa letu...!!!
kumbe kweli....!!!????
 
Back
Top Bottom