ndoto yako inafanana na ya kwangu sema mimi nimeota ndoto naenda kulala halafu nilivyo lala nikaota tena kwa hiyo nilikuwa na ndoto tatu zimepandana.
duh, afadhali kumbe hii kitu inawezekana coz mi niliota nimelala na baada ya muda mchache humo humo ndotoni nikaota nimeenda kwenye garden kupumzika kisha nikapitiwa na usingizi na mara nikiwa usingizini nikaota nimenunua godoro jipya sasa wakati nali-test nikalala mazima na usingizini nikaota nimesafiri kwenda Arusha kwenye mkutano ila kwa kuwa nilifika jioni sana nikawa nimechoka hivyo nikaamua kujipumzisha hotelini, mara usingizi ukanichukua nikaanza kuota eti mhudumu amekuja na kuniambia wenzangu wamekuja kuniulizia wapo reception, nilipotoka kwenda kuwacheki nikapitiwa na usingizi kwenye sofa zilizowekwa reception na kuanza kuota tupo kwenye semina kisha nikastuka

mnh nlichoota leo hatari
nimeota....nimeota......
Bongo imehamia ulaya....