Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika, hazina maana yeyote zipuuzeni

Unazungumzia mambo ya Memory
Ni memory ipi hapo inayokufanya uweze kujua kilipo kitu kilichopotea(kwenye ndoto) hali ya kuwa hukuwa ukijua kilipo? au ni memory ipi inayokufanya uweze kujua jambo ambalo hukuwahi kulijua?
 
Long term memory===>working Memory====>short term memory

Baada ya huo mlolongo ndio unakikumbuka kilipo
 
Unaweza kupoteza kitu na kujua ulipokipotezea ila ukasahau na hapo ndio inakuja hiyo issue ya memory lakini kuna kupoteza kitu halafu usijue ni wapi ulipokipoteza hivyo hujui hata wapi pa kwenda kukitafuta, sasa hapo issue ya memory itahusika vp kwa kitu ambacho hukijui yani ukumbuke kitu wakati huna hiyo memory?
 
Unaweza kupoteza kitu usichokuwa nacho?
Umewahi kusoma kitabu cha sherlock Holmes?

Kwani kwa mfano likitokea tukio la mauaji na muuaji hakuonekana na hajulikani alipo na wala hajawahi kutumia simu kwani polisi huwa wanamtambuaje suspect ilihali wao hawakuwepo?
 
Polisi wanamjua suspect kwa kufanya uchunguzi ndipo wanaweza kujua, ni sawa na mtu kupoteza kitu hajui kipo wapi ila akaanza kukitafuta na hadi akakipata. Sasa katika hayo matukio mawili hakuna issue ya memory hapo maana huwezi kusema polisi wamemjua suspect kwa kumkumbuka tu hali ya kuwa hawakuwepo wakati tukio hilo la mauwaji likifanyika au tuseme mtu akumbuke ni wapi alipopoteza kitu hali kuwa hakuwa akijua hata wapi alipoteza hicho kitu.

Kwahiyo mimi nazungumzia suala la mtu kutumia ndoto kama njia ya kumuwezesha kujua kitu ambacho hakuwa akikijua hapo mwanzoni na si kwamba nazungumzia kukumbuka kitu kupitia ndoto.
 
Polisi wanamjua suspect kwa kufanya uchunguzi ndipo wanaweza kujua, ni sawa na mtu kupoteza kitu hajui kipo wapi ila akaanza kukitafuta na hadi akakipata. Sasa katika hayo matukio mawili hakuna issue ya memory hapo maana huwezi kusema polisi wamemjua suspect kwa kumkumbuka tu hali ya kuwa hawakuwepo wakati tukio hilo la mauwaji likifanyika au tuseme mtu akumbuke ni wapi alipopoteza kitu hali kuwa hakuwa akijua hata wapi alipoteza hicho kitu.

Kwahiyo mimi nazungumzia suala la mtu kutumia ndoto kama njia ya kumuwezesha kujua kitu ambacho hakuwa akikijua hapo mwanzoni na si kwamba nazungumzia kukumbuka kitu kupitia ndoto.ni
Ni wazi huelewi maana ya memory, bila memory hakuna logic, bila memory hakuwezi kukawa na successful investigation.

Hujui kuwa ukinaswa na CCTV camera ukifanya jinai hiyo ni memory? Hujui kuwa ukidondosha kifungo sehemu ya tukio kikaokotwa hiyo ni memmory na inaweza kukusababishia kutiwa hatiani

Kasome kuhusu memory uongeze maarifa
 
Acha ubishi wa kipumbavu kama hujui kitu pita kimya kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Dreams . . . Why Do Some Come True?

Can one’s dreams foresee the future?

It's a question that has captivated cultures for as long as history has been recorded. Many attribute the predictive power of dreams to spirituality and divine intervention. Yet, regardless of the faith of any individual who enters the dream state, there are numerous instances in which dreams actually do come true in ways that were not anticipated. Most prophetic dreams do not bear spiritually significant meaning and hold no link to life-changing events.
hakuna kitu kama hicho,hiyo ni probality tu,sawasawa wewe uote utaoga halafu uje uoge kweli,au mimi niote siku nitapata ajali halafu nipate kweli kumbe ni ajali tu hata nisingeota ingetokea

Umeelewa kilichowekwa kwenye hiyo link 😃😃😃😃😃😃😃😄

Au kingereza kwako ni tatizo mkuu??

Kiufupi tunayokuelewesha hapa ndiyo yaliyowekwa kwenye hiyo research

Jifunze kuukubali ukweli
 
Hapana waneandika kichina.
Umeelewa kilichowekwa kwenye hiyo link 😃😃😃😃😃😃😃😄

Au kingereza kwako ni tatizo mkuu??

Kiufupi tunayokuelewesha hapa ndiyo yaliyowekwa kwenye hiyo research

Jifunze kuukubali ukweli
 
I am also tired of similar kind of dreams. I see dreams everyday and all of them come true. Even if I saw a dreams with little significance it will come true. Everyday I wake up with new dreams, I try to encode them, force my brain to recall them and try to remember as much as I can. I am literally terrified of these dreams. I see many people dying in front of me. And all of them had died. I see people cheating on me and find them actually. If a person tell lie to me, I see in my dream that he was lying. If I love someone and see that she just tricks your feelings, then I just wait this moment to arrive one day. And it will arrive, I won't be able to save this relationship. I just see the moment as a dumb observer.

I was friend with a girl who was married to a foreign person. We knew each other since last many years. I was trying to take admission in a foreign country (Europe, Canada, New Zealand). One day I came to know that she is also doing similar kind of efforts and trying to settle in other country (Canada). Being common in prospects, we began to interact with each other. She used to treat me well enough, we shared our experiences, we discussed our future, we used to talk a lot. She always acted like I was very close to her and I posses a meaning in her life.

One day I saw a dream that she was at a place which was unfamiliar to me. May be it was a place of her in-laws and other relatives. I was living a building which was just meaningless and this building was in front of her house or so. I observed in my dream that she was unconcerned to me. She was even not caring that I was existed. She was so heedless and indifferent to me that she behaved like I never existed for her. I woke up, and continuously thinking about that dream. Why a person who is very friendly to you ever will act like you never existed for her?? That dreams had a meaning and I began to wait for that moment to arrive.

One day I went to a exhibition with her and her husband. After the exhibition, She had to drop me to a metro station. From this point to last two hours, I was feeling that she is unconcerned to me. She didn't even talk much. At metro station she was impatiently waiting for me to come out of her vehicle and move to the metro station. As I already remembered that dream, I didn't take much time to leave their vehicle and moved towards my destination. It was a depressing moment as I already knew that this will happen. From that day to this point of time she never called me and we didn't talk. As I was occupied with the information of my dream, I also didn't talk.

I face nightmares, and I am terrified and scared. I just foretell events, I can't control them. This is one moment and there are hundreds of moments (bad moments) that will happen and have happened. Sometimes I want to end my life as I don't want to see future anymore. If you have a wisdom less than the intelligent people, you are living a blessed life. There's no point of becoming wise.

The curiosity does not end here. If a friendship is subject to an end, what is point someone will see it in his dream? It could have finished stumpy! We lose many people and every one is not seen in the dreams. May be it has a other significance that I am not understanding!
33K viewsView upvotes

42

12

Dreams . . . Why Do Some Come True?​

February 5, 2018
Heidi Moawad, MD

What's the science behind predictive dreams?

conscious and subconscious memories

©MrLIGHTMAN1975/Shutterstock.com
dreams-why-do-some-really-do-come-true

Can one’s dreams foresee the future?
It's a question that has captivated cultures for as long as history has been recorded. Many attribute the predictive power of dreams to spirituality and divine intervention. Yet, regardless of the faith of any individual who enters the dream state, there are numerous instances in which dreams actually do come true in ways that were not anticipated. Most prophetic dreams do not bear spiritually significant meaning and hold no link to life-changing events.
Researchers have found that the brain’s activity during sleep may explain the capacity of dreams to foretell the future.
The science behind predictive dreams
There are frequent stories of people who explain that they had dreams unexpectedly came true. There are several possible explanations.
Some experts suggest that dreams may include events that a person has not necessarily thought through while awake. After dreaming of something, such as passing or failing a test, a student might begin to believe in the probability of either outcome. In this example, a student’s behavior might change: he or she may study more or less for the test after the dream. This can happen because the dream may be considered a reflection of the most likely outcome, which becomes very life-like and powerful in the dream state. The power of dreams, however, only applies to outcomes that can be at least partially controlled by a person who knew of the dream.
However, some dreams come true without any intervention or “post-dream” action that could have been controlled by the dreamer or anyone who knew the content of the dream. Evidence points to the idea that dreams can also be a synthesis of a person’s conscious and subconscious memories-a synthesis of real clues that make it easier to accurately anticipate the probability of certain outcomes. This theory also suggests that obvious clues may not be considered important until all the facts are pooled. Sometimes this occurs during sleep.
Dream anatomy and function
REM sleep is dependent on intact structure and function of several areas of the brain. One study showed that patients who had suffered from bilateral lesions of the ventromesial region or the parieto-temporo-occipital junction lost the ability to dream during sleep.1,2
And a few studies point to pattern recognition as a component of REM sleep. This suggests that there may be some linking of events that occurs during the dream state that does not always occur when awake. . . essentially putting concrete signs that are collected during waking hours together to form a reasonable deduction about their implications.

References:​

1. Solms M. The Neuropsychology of Dreams: A Clinico-Anatomical Study. Mahwah, NJ: L. Erlbaum. 1997.
2. Llewellyn S. Dream to predict? REM dreaming as prospective coding. Front Psychol.2015;6:1961.
Further Reading
Revonsuo A. The reinterpretation of dreams: an evolutionary hypothesis of the function of dreaming. Behav Brain Sci.2000;23:877-901.

BAK

Umetuletea article nzuri sana kutoka kwa wataalam wa Neuroscience, uzuri ni kwamba tunachokuelewesha hapa ndicho kilicho kwenye article,

Ni wazi kuwa kwako kiingereza ni tatizo
Nime undeline baadhi ya mistari usome
 
I am also tired of similar kind of dreams. I see dreams everyday and all of them come true. Even if I saw a dreams with little significance it will come true. Everyday I wake up with new dreams, I try to encode them, force my brain to recall them and try to remember as much as I can. I am literally terrified of these dreams. I see many people dying in front of me. And all of them had died. I see people cheating on me and find them actually. If a person tell lie to me, I see in my dream that he was lying. If I love someone and see that she just tricks your feelings, then I just wait this moment to arrive one day. And it will arrive, I won't be able to save this relationship. I just see the moment as a dumb observer.

I was friend with a girl who was married to a foreign person. We knew each other since last many years. I was trying to take admission in a foreign country (Europe, Canada, New Zealand). One day I came to know that she is also doing similar kind of efforts and trying to settle in other country (Canada). Being common in prospects, we began to interact with each other. She used to treat me well enough, we shared our experiences, we discussed our future, we used to talk a lot. She always acted like I was very close to her and I posses a meaning in her life.

One day I saw a dream that she was at a place which was unfamiliar to me. May be it was a place of her in-laws and other relatives. I was living a building which was just meaningless and this building was in front of her house or so. I observed in my dream that she was unconcerned to me. She was even not caring that I was existed. She was so heedless and indifferent to me that she behaved like I never existed for her. I woke up, and continuously thinking about that dream. Why a person who is very friendly to you ever will act like you never existed for her?? That dreams had a meaning and I began to wait for that moment to arrive.

One day I went to a exhibition with her and her husband. After the exhibition, She had to drop me to a metro station. From this point to last two hours, I was feeling that she is unconcerned to me. She didn't even talk much. At metro station she was impatiently waiting for me to come out of her vehicle and move to the metro station. As I already remembered that dream, I didn't take much time to leave their vehicle and moved towards my destination. It was a depressing moment as I already knew that this will happen. From that day to this point of time she never called me and we didn't talk. As I was occupied with the information of my dream, I also didn't talk.

I face nightmares, and I am terrified and scared. I just foretell events, I can't control them. This is one moment and there are hundreds of moments (bad moments) that will happen and have happened. Sometimes I want to end my life as I don't want to see future anymore. If you have a wisdom less than the intelligent people, you are living a blessed life. There's no point of becoming wise.

The curiosity does not end here. If a friendship is subject to an end, what is point someone will see it in his dream? It could have finished stumpy! We lose many people and every one is not seen in the dreams. May be it has a other significance that I am not understanding!
33K viewsView upvotes

42

12
Hii ni story ya mtu huko Quora it is not a proof

Soma article uliyotuletea
 
Hebu acha ubishi wa kipumbavu. Kuna link hapo juu ya watu ambao wanaandika kuhusu ndoto zao kuwa kweli lakini bado unabisha tu! 😳😳😳
Kuna mama 84 years old aliota kuhusu number sita za bahati nasibu zitakazoshinda. Asubuhi alipoamka akaenda kukata tickets mbili the same number zawadi ilikuwa $24 million na kweli zile namba zake zilishinda lakini kulikuwa na mshindi mwingine. Kutokana na yeye kuwa na tickets mbili mgawo wake ulikuwa ni 2/3 of the jackpot. Acha ubishi wa kipuuzi.
Kuna jamaa huyu mbongo hadi ndugu zake wamempiga marufuku kusema kuhusu alichoota. Yeye ndoto zake ni za vifo vya ndugu na kila aliposema nimeota Fulani kafa na kweli alikufa hata kabla ya wiki kuisha.

BAK

Umetuletea article nzuri sana kutoka kwa wataalam wa Neuroscience, uzuri ni kwamba tunachokuelewesha hapa ndicho kilicho kwenye article,

Ni wazi kuwa kwako kiingereza ni tatizo
Nime undeline baadhi ya mistari usome
 
Acha ubishi wa kipumbavu kama hujui kitu pita kimya kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Dreams . . . Why Do Some Come True?

Can one’s dreams foresee the future?

It's a question that has captivated cultures for as long as history has been recorded. Many attribute the predictive power of dreams to spirituality and divine intervention. Yet, regardless of the faith of any individual who enters the dream state, there are numerous instances in which dreams actually do come true in ways that were not anticipated. Most prophetic dreams do not bear spiritually significant meaning and hold no link to life-changing events.
umeshakuwa brainwashed siwezi kukusaidia lolote.kwann waseme some na si zote,wanajaribu janjajanja ili wapige pesa kwa baadhi ya wajinga kama wewe pindi mnapoota ndoto mbaya muende kutafsiriwa ili wawatandike za uso .
 
Ni wazi huelewi maana ya memory, bila memory hakuna logic, bila memory hakuwezi kukawa na successful investigation.

Hujui kuwa ukinaswa na CCTV camera ukifanya jinai hiyo ni memory? Hujui kuwa ukidondosha kifungo sehemu ya tukio kikaokotwa hiyo ni memmory na inaweza kukusababishia kutiwa hatiani

Kasome kuhusu memory uongeze maarifa
Mkuu sijui kama tunaelewana ndio maana unanipeleka huku kwengine kabisa, nimekwambia polisi wanafanya uchunguzi sasa hizo memory kama CCTV na sijui kifungo yanapatikana ukifanya uchunguzi, hivyo kitu tofauti na nachozungumzia mimi hapa,bila kufanya uchunguzi ni vp polisi atapata hiyo memory kama kujua sura ya suspect ambayo imenaswa kwenye CCTV au kwenye camera ya simu ya mtu? labda sasa unielimishe kuhusu memory kwa mtu ambaye ameweza kujua wapi kilipo kitu kilichopotea kwa kutumia ndoto hali ya kuwa hakuwa akijua kabisa ni wapi kilipopotelea hicho kitu?
 
umeshakuwa brainwashed siwezi kukusaidia lolote.kwann waseme some na si zote,wanajaribu janjajanja ili wapige pesa kwa baadhi ya wajinga kama wewe pindi mnapoota ndoto mbaya muende kutafsiriwa ili wawatandike za uso .
Inatokana na sababu iliyokufanya uote.
 
Back
Top Bottom