Ni memory ipi hapo inayokufanya uweze kujua kilipo kitu kilichopotea(kwenye ndoto) hali ya kuwa hukuwa ukijua kilipo? au ni memory ipi inayokufanya uweze kujua jambo ambalo hukuwahi kulijua?Unazungumzia mambo ya Memory
Long term memory===>working Memory====>short term memoryNi memory ipi hapo inayokufanya uweze kujua kilipo kitu kilichopotea(kwenye ndoto) hali ya kuwa hukuwa ukijua kilipo? au ni memory ipi inayokufanya uweze kujua jambo ambalo hukuwahi kulijua?
Unaweza kupoteza kitu na kujua ulipokipotezea ila ukasahau na hapo ndio inakuja hiyo issue ya memory lakini kuna kupoteza kitu halafu usijue ni wapi ulipokipoteza hivyo hujui hata wapi pa kwenda kukitafuta, sasa hapo issue ya memory itahusika vp kwa kitu ambacho hukijui yani ukumbuke kitu wakati huna hiyo memory?Long term memory===>working Memory====>short term memory
Baada ya huo mlolongo ndio unakikumbuka kilipo
Unaweza kupoteza kitu usichokuwa nacho?Unaweza kupoteza kitu na kujua ulipokipotezea ila ukasahau na hapo ndio inakuja hiyo issue ya memory lakini kuna kupoteza kitu halafu usijue ni wapi ulipokipoteza hivyo hujui hata wapi pa kwenda kukitafuta, sasa hapo issue ya memory itahusika vp kwa kitu ambacho hukijui yani ukumbuke kitu wakati huna hiyo memory?
Polisi wanamjua suspect kwa kufanya uchunguzi ndipo wanaweza kujua, ni sawa na mtu kupoteza kitu hajui kipo wapi ila akaanza kukitafuta na hadi akakipata. Sasa katika hayo matukio mawili hakuna issue ya memory hapo maana huwezi kusema polisi wamemjua suspect kwa kumkumbuka tu hali ya kuwa hawakuwepo wakati tukio hilo la mauwaji likifanyika au tuseme mtu akumbuke ni wapi alipopoteza kitu hali kuwa hakuwa akijua hata wapi alipoteza hicho kitu.Unaweza kupoteza kitu usichokuwa nacho?
Umewahi kusoma kitabu cha sherlock Holmes?
Kwani kwa mfano likitokea tukio la mauaji na muuaji hakuonekana na hajulikani alipo na wala hajawahi kutumia simu kwani polisi huwa wanamtambuaje suspect ilihali wao hawakuwepo?
Ni wazi huelewi maana ya memory, bila memory hakuna logic, bila memory hakuwezi kukawa na successful investigation.Polisi wanamjua suspect kwa kufanya uchunguzi ndipo wanaweza kujua, ni sawa na mtu kupoteza kitu hajui kipo wapi ila akaanza kukitafuta na hadi akakipata. Sasa katika hayo matukio mawili hakuna issue ya memory hapo maana huwezi kusema polisi wamemjua suspect kwa kumkumbuka tu hali ya kuwa hawakuwepo wakati tukio hilo la mauwaji likifanyika au tuseme mtu akumbuke ni wapi alipopoteza kitu hali kuwa hakuwa akijua hata wapi alipoteza hicho kitu.
Kwahiyo mimi nazungumzia suala la mtu kutumia ndoto kama njia ya kumuwezesha kujua kitu ambacho hakuwa akikijua hapo mwanzoni na si kwamba nazungumzia kukumbuka kitu kupitia ndoto.ni
hakuna kitu kama hicho,hiyo ni probality tu,sawasawa wewe uote utaoga halafu uje uoge kweli,au mimi niote siku nitapata ajali halafu nipate kweli kumbe ni ajali tu hata nisingeota ingetokea
hakuna kitu kama hicho,hiyo ni probality tu,sawasawa wewe uote utaoga halafu uje uoge kweli,au mimi niote siku nitapata ajali halafu nipate kweli kumbe ni ajali tu hata nisingeota ingetokea
Umeelewa kilichowekwa kwenye hiyo link 😃😃😃😃😃😃😃😄Acha ubishi wa kipumbavu kama hujui kitu pita kimya kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Dreams . . . Why Do Some Come True?
Can one’s dreams foresee the future?
It's a question that has captivated cultures for as long as history has been recorded. Many attribute the predictive power of dreams to spirituality and divine intervention. Yet, regardless of the faith of any individual who enters the dream state, there are numerous instances in which dreams actually do come true in ways that were not anticipated. Most prophetic dreams do not bear spiritually significant meaning and hold no link to life-changing events.
Umeelewa kilichowekwa kwenye hiyo link 😃😃😃😃😃😃😃😄
Au kingereza kwako ni tatizo mkuu??
Kiufupi tunayokuelewesha hapa ndiyo yaliyowekwa kwenye hiyo research
Jifunze kuukubali ukweli
Umeelewa kilichowekwa kwenye hiyo link 😃😃😃😃😃😃😃😄
Au kingereza kwako ni tatizo mkuu??
Kiufupi tunayokuelewesha hapa ndiyo yaliyowekwa kwenye hiyo research
Jifunze kuukubali ukweli
Acha ubishi wa kipumbavu kama hujui kitu pita kimya kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Dreams . . . Why Do Some Come True?
Can one’s dreams foresee the future?
It's a question that has captivated cultures for as long as history has been recorded. Many attribute the predictive power of dreams to spirituality and divine intervention. Yet, regardless of the faith of any individual who enters the dream state, there are numerous instances in which dreams actually do come true in ways that were not anticipated. Most prophetic dreams do not bear spiritually significant meaning and hold no link to life-changing events.
Hii ni story ya mtu huko Quora it is not a proofAll my dreams are coming true, literally. If I dream something after couple of days it comes to reality. Does that mean I am a psychic?
Answer (1 of 98): In a roundabout way, I don't really know. Most of my dreams become true, and most of them should end in my death. Unlike others who experience this, I find myself nearly excaping death each time. I do anything and everything to stay alive as of now, and it's tiring. At first I ...www.quora.com
I am also tired of similar kind of dreams. I see dreams everyday and all of them come true. Even if I saw a dreams with little significance it will come true. Everyday I wake up with new dreams, I try to encode them, force my brain to recall them and try to remember as much as I can. I am literally terrified of these dreams. I see many people dying in front of me. And all of them had died. I see people cheating on me and find them actually. If a person tell lie to me, I see in my dream that he was lying. If I love someone and see that she just tricks your feelings, then I just wait this moment to arrive one day. And it will arrive, I won't be able to save this relationship. I just see the moment as a dumb observer.
I was friend with a girl who was married to a foreign person. We knew each other since last many years. I was trying to take admission in a foreign country (Europe, Canada, New Zealand). One day I came to know that she is also doing similar kind of efforts and trying to settle in other country (Canada). Being common in prospects, we began to interact with each other. She used to treat me well enough, we shared our experiences, we discussed our future, we used to talk a lot. She always acted like I was very close to her and I posses a meaning in her life.
One day I saw a dream that she was at a place which was unfamiliar to me. May be it was a place of her in-laws and other relatives. I was living a building which was just meaningless and this building was in front of her house or so. I observed in my dream that she was unconcerned to me. She was even not caring that I was existed. She was so heedless and indifferent to me that she behaved like I never existed for her. I woke up, and continuously thinking about that dream. Why a person who is very friendly to you ever will act like you never existed for her?? That dreams had a meaning and I began to wait for that moment to arrive.
One day I went to a exhibition with her and her husband. After the exhibition, She had to drop me to a metro station. From this point to last two hours, I was feeling that she is unconcerned to me. She didn't even talk much. At metro station she was impatiently waiting for me to come out of her vehicle and move to the metro station. As I already remembered that dream, I didn't take much time to leave their vehicle and moved towards my destination. It was a depressing moment as I already knew that this will happen. From that day to this point of time she never called me and we didn't talk. As I was occupied with the information of my dream, I also didn't talk.
I face nightmares, and I am terrified and scared. I just foretell events, I can't control them. This is one moment and there are hundreds of moments (bad moments) that will happen and have happened. Sometimes I want to end my life as I don't want to see future anymore. If you have a wisdom less than the intelligent people, you are living a blessed life. There's no point of becoming wise.
The curiosity does not end here. If a friendship is subject to an end, what is point someone will see it in his dream? It could have finished stumpy! We lose many people and every one is not seen in the dreams. May be it has a other significance that I am not understanding!
33K viewsView upvotes
42
12
BAK
Umetuletea article nzuri sana kutoka kwa wataalam wa Neuroscience, uzuri ni kwamba tunachokuelewesha hapa ndicho kilicho kwenye article,
Ni wazi kuwa kwako kiingereza ni tatizo
Nime undeline baadhi ya mistari usome
Hii ni story ya mtu huko Quora it is not a proof
Soma article uliyotuletea
Ahsante kwa maoni yako mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila ulichoandika wewe kina proof hahahahahaha
umeshakuwa brainwashed siwezi kukusaidia lolote.kwann waseme some na si zote,wanajaribu janjajanja ili wapige pesa kwa baadhi ya wajinga kama wewe pindi mnapoota ndoto mbaya muende kutafsiriwa ili wawatandike za uso .Acha ubishi wa kipumbavu kama hujui kitu pita kimya kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Dreams . . . Why Do Some Come True?
Can one’s dreams foresee the future?
It's a question that has captivated cultures for as long as history has been recorded. Many attribute the predictive power of dreams to spirituality and divine intervention. Yet, regardless of the faith of any individual who enters the dream state, there are numerous instances in which dreams actually do come true in ways that were not anticipated. Most prophetic dreams do not bear spiritually significant meaning and hold no link to life-changing events.
Mkuu sijui kama tunaelewana ndio maana unanipeleka huku kwengine kabisa, nimekwambia polisi wanafanya uchunguzi sasa hizo memory kama CCTV na sijui kifungo yanapatikana ukifanya uchunguzi, hivyo kitu tofauti na nachozungumzia mimi hapa,bila kufanya uchunguzi ni vp polisi atapata hiyo memory kama kujua sura ya suspect ambayo imenaswa kwenye CCTV au kwenye camera ya simu ya mtu? labda sasa unielimishe kuhusu memory kwa mtu ambaye ameweza kujua wapi kilipo kitu kilichopotea kwa kutumia ndoto hali ya kuwa hakuwa akijua kabisa ni wapi kilipopotelea hicho kitu?Ni wazi huelewi maana ya memory, bila memory hakuna logic, bila memory hakuwezi kukawa na successful investigation.
Hujui kuwa ukinaswa na CCTV camera ukifanya jinai hiyo ni memory? Hujui kuwa ukidondosha kifungo sehemu ya tukio kikaokotwa hiyo ni memmory na inaweza kukusababishia kutiwa hatiani
Kasome kuhusu memory uongeze maarifa
Inatokana na sababu iliyokufanya uote.umeshakuwa brainwashed siwezi kukusaidia lolote.kwann waseme some na si zote,wanajaribu janjajanja ili wapige pesa kwa baadhi ya wajinga kama wewe pindi mnapoota ndoto mbaya muende kutafsiriwa ili wawatandike za uso .