Ndoto tunazoota na tafsiri zake

hivi ungeota unatafunwa kweli ungeomba tafsili pia ya hiyo ndoto????
 
Ushauri wangu, ukishtuka kwenye ndoto za hivyo zikatae na kuharibu kabisa nia za ndoto hizo, mipango yote ya ibilisi natakasa maisha yako mwili na kila kitu chako kwa Damu ya Yesu. Na kama ni ndoto ya nafanikio basi ikamate na kuimiliki na kuizungushia ulinzi wa Damu ya Yesu. Usiwaze tu na kusubiri umsimulie mtu. Sometimes ni maono yenye maonyo au ujumbe na sometimes ni vita na muovu. Allen kakuambia possible meaning mimk nimekwambia nini ufanye next time inakutokea. It doesn't cost a thing lkn inasaidia sana huwezi kuwa na wasiwasi maana tayari umeikataa hiyo ndoto.
 
hizo ndoto ni kawaida tu! hutokea wakati ubongo unapokuwa upo ktk hari ya REM. usiwaze sana mkuu.

 
Karibu pm siwezi kukupa hapa tafsiri yake
 
Tafsiri:
Utakuja kua tajiri mkubwa sana kushinda hao wakina bill gates,
'upo ndani ya jeneza' yani utakua kwny kiti cha ufalme,
'watu wanalia sana' yani watu watakua wanakushangilia kila upitapo,
'ukashtuka usingizini' yani utajiri wako utakaa kwa muda mfupi, utakua kapuku,
'kichwa kikauma sana' yani mawazo yatakusonga mpk utachizika.
 
Unavotafsiri ndoto km una undugu na Yusufu
 
Nipe mavi yako nikaushe alafu nifanye ugoro na mengine ninuse alafu nikipiga chafya tuu nakupa jibu
 
Mkuu achana na ndoto kua na amani

Hizi tafsir za watu ndio zitakuchanganya nishaota nafukiwa miaka 10 iliyopita bado nadunda
 
Nashukuru mkuu kwa tafsiri.
 
mwamini sana MUNGU mwambie MUNGU apambane naye anaye pambana na wewe. sawa kibinadamu lazima uwoga ukushike kutokana na ulichoota lakini ndoto isikunyong'onyeze ukakosa furaha kwani tayari umesha ota.

Nashukuru kwa ushauri wako mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…