Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Uzi mzuri,barikiwa sana...
 
Hii kama copy & paste ya kitabu cha Mwakasege?!?
Anyways uzi poa
 
Mie juzi nimemuota mo nipo nae kwenye Basi tunaenda nae shughukini ila tukashuka wote na akawepo kwenye shughuli ya kusheherekea ila sijui sherehe ya nini ila yakiswazi nikaamka
 
mimi leo nimeota wenzanzangu wapo wanajiandaa na mtihani ila mimi nazurula tu kwenye group za watu wakifanya discusion na nikifika huko sichangii kitu na kichwan najiona kabisa ni mweupe.. but at the end nikajisemea tu huu mtihani siufanyi ....chakushangaza watu waliokua wanafanya hiyo discusion ni mchanganyiko wa wale niliosoma nao primary pamoja na degree

halafu juzi niliota nakimbizwa na maaskali yaan kuna sehem kuna sehem nilikua napita nikawakuta jamaa wamefanya mgomo sasa askari wakawa wanawatawanya, kuna askari mmoja akawa ananilenga kabisa na bomu la machozi had nikawa najiuliza kwann asipige juu tu kunaulazima gan anipige na bomu? mabomu yalikua yananipata mikononi ila hayakuwa yakinizuru.

katika hiyo ndoto pia nilikua safarini naelekea kazini kwa gari (nje ya nchi) ghafla nikaghairi ile safari na kurudi kitaa na hapo na kwasasa nipo nje sasa najiuliza why nimeota nimeghairri safari na wakati tayari nimeshasafiri kiuhalisia? na sikutumia gari kama ilivokua kwenye ndoto na ni nje ya bara hapo najiuliza kwanini gar na kwanini nighaili safari na wakat tayar nimesafiri
 
Pole sana ndugu njoo inbox kwa msaada zaidi
 
Mie juzi nimemuota mo nipo nae kwenye Basi tunaenda nae shughukini ila tukashuka wote na akawepo kwenye shughuli ya kusheherekea ila sijui sherehe ya nini ila yakiswazi nikaamka
Njoo inbox kwa msaada zaidi
 
Kuota mtu aliyekufa anakuomba msaada wa kifedha na ukamjibu kwa hasira sina. Ina maana gani? Ikumbukwe ni mtu alikuwa adui wa familia
 
Wewe umeibiwa nyota yako ya uongozi. Ukute hapo kuna mbunge au waziri ana peta nayo tu. Suala la kuibiwa nyota nilijifunza kwa askofu gwajima
 
Kibayolojia binadamu anaota kila siku ndoto nyingi sana Ila anasahau baadhi ya ndoto.
Baadhi ya ndoto unaweza zieleza kisayansi.
Kwa kawaida ukilala umekunja miguu au unaangalia juu.Unaota ndoto za kutisha za kufukuzwa.
Sababu ni kuwa oxygen haifiki vizuri kwenye ubongo vile umekunja miguu.Au ukiangalia juu umelala mshipa mkubwa nyuma ya shingo unakuwa umeukandamiza hivyo ubongo unapata damu Kwa mgao.
Basi ubongo unaweweseka inapelekwa message unakimbizwa ili uachie damu ipite.
Mambo mengine sina pingamizi ni mambo ya vitabu vya mungu.
Ahsante mtoa mada
 
Mimi huwa naota niko na mtoto mzuri nikifika wakati wakumgegeda ndoto nashituka kutoka usingizini. Nikiona hivyo nalazimisha kulala tena ili nikamgegede yule mtoto.

Hii maana yake nini?
 
Aiseee.
Hizi ndoto bana ukizifuatilia kila unapoota shida.
Mie mandoto yakianza tu lazima kwanza nikapime malaria
 
Mkuu ikiwezekana tupeane msaada aisee. Ni kama nimekwama sehemu, na nimekuwa napata ndoto ambazo najitahidi sana kuzipinga but zinajirudia sana.

Mfano, Namba 5 kuota niko maeneo ya nyumbani au kijijini kwetu, siwezi kuhesabu. Nimeota hii ndoto mara kibao katika mkitdha tofauti, and its true kuna vitu yaani havisogei.

Namba 12, ndto za kujirudia, kuna ndoto nimeiota mostly mwaka na nusu sasa. Its a certain message ambayo natakiwa kufanya like action flani. Lakini kila nikiangalia sioni pa kuanzia kwakweli, na mazingira yaliyopo kibinadamu ni kama hayasadifu kabisa hili jambo.

Tusaidiane mkuu..
 
Mtoa mada asante. Umeeleza vizuri sana. Hata hivyo wapo watu wengi wanapuuzia ndoto (hasa za kukimbizwa) wakidhani labda walila mwili ukiwa vibaya kumbe ni ndoto zenye ujumbe mahususi. Watu wengi sana wanaota mambo ya kijijini kwao au wanaota watu waliokufa kwa sababu ya roho za kiukoo. Tafadhali fafanua zaidi kuhusu ndoto za namna hiyo maana ni watu wengi wanakutana nazo
 
Mimi niliota marehemu baba yangu mzazi akinipa fedha nyingi sana.Hii ndoto inamaana gani mtumishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…