Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Dah mimi naota naanguka kutoka katika sehemu ya juu sana ..je kuna shida?
Kitaalam wanaita "HYPNIC JERK" ni ki2 cha kawaida na huwa inasababishwa na kuchoka sana au kunywa baadhi ya vinyaji vyenye caffeine na kulala vibaya.
 
mi naotaga sana ndoto mbili moja ile ya kupaa angani ila sifiki popote ya pili naotaga naokota shilingi yaan pesa sarafu chini zinakua nyingiiii mia mia mia mbili ivo yaan ila ndo sielewagi maana yake izo ndoto anaejua anisaidie.
Daaah exactly kama mm yaani naokota mihela kama yooootee
 
Kwanini unateseka?
 
Hiyo ya kuokota pesa hata Mimi nilikua nayo.. Niliambiwaga ni roho ya umasikini yani kama kuna mtu anatumia riziki yako na kukufanya wewe ukose..niliombewaga na kusimamia vifungu vya biblia sizioti tena
mi naotaga sana ndoto mbili moja ile ya kupaa angani ila sifiki popote ya pili naotaga naokota shilingi yaan pesa sarafu chini zinakua nyingiiii mia mia mia mbili ivo yaan ila ndo sielewagi maana yake izo ndoto anaejua anisaidie.
 
Hiyo ya kuokota pesa hata Mimi nilikua nayo.. Niliambiwaga ni roho ya umasikini yani kama kuna mtu anatumia riziki yako na kukufanya wewe ukose..niliombewaga na kusimamia vifungu vya biblia sizioti tena
mmh kaz nnayo..ntaanza kuomba namm.
 
Nimeota leo nipo juu ya bati nataka kupenya ili ningie ndani kupitia kwenye bati ila pembeni kuna mipaka imetumwa inichunguze wapi na pitia ili ikaseme ila mwisho wasiku nikafanikiwa kushuka chini na kupitia mlangoni kupitia mlango
Inamaana gn io tafsiri ila
 
HUU NIUGANGA BRO... TANGAZO KAMA MATANGAZO MENGINE ... coz hakunaga utafsir wa ndoto ambao upo direct kiasi icho af eti kila ndo inanegative implication
 
mkuu nisiadie kwenye hiyo ndoto ya kuota mapenzi na mademu tofauti inanitokea mara kwa mara
 
"Watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa "

Infact imendikwa “wanaangamizwa “na siyo kuwa wanaangamia !

Means they are force to perish !

Yani kwamba mtu akikosa maarifa atalazima kuangamizwa na ule ujinga au upumbavu wake hata kama hataki!
 
Hapa wachovu Watakamatwa Sana. Watu wenye elimu ndogo nao waakamatwa.

Ndoto zote hapo umeziweka upande wa hasi. Lengo lako ni kuwapa watu hofu ili baadaye uwaibie.

Shetani mjanja sana. Anatumia ujinga wa watu kuwaharibu
 
namba tatu nilikua naotaga zaman ila saiv imeacha
 
Hiyo ya kuokota pesa hata Mimi nilikua nayo.. Niliambiwaga ni roho ya umasikini yani kama kuna mtu anatumia riziki yako na kukufanya wewe ukose..niliombewaga na kusimamia vifungu vya biblia sizioti tena
Me mbna hyo ndoto nishaota sana nikiwa mdogo hata cjui kutafuta ni nini inamaana watu walikuwa wanatumia riziki yangu Mimi nikosee???
 
juzi tu nimeota kulikuwa na kundi la ng'ombe walikuwa mbele yangu afu mkonon mwangu nkiwa nimeshika kipande cha Kama bua ivi, chakunishangaza zaidi nlivyo watupilia wakaniacha wakawa wanagombania kile kipande cha bua.

baada ya hapo nkajikuta nakimbia Sana, gafla nkakutana na mtu kashika panga akiwa na lengo la kunidhuru, kilichonisaidia nikawa nakimbia kwa sita yani kwa kupindapinda. baada ya hapo nkashtuka ila hakubahatika kunidhuru.
 
Njoo inbox kwa msaada zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…