Ndoto tunazoota na tafsiri zake



mbona pm yako haifunguki
 


mbona pm yako haifunguki
 
Siku 2 mfululizo nimeota ndoto tofauti:

Siku ya kwanza nimeota nimefumaniwa na mpenz wangu nimpendae sana, sikumbuki hasa nilikuwa namgonga nani ila niliposikia anakuja, alikuwa na chalii mmoja ni classmate wake nikakurupuka fasta nikatoka chumbani nikaenda mazingira ya nje. Nyumba ilikuwa imezingirwa na vichaka so walipofika ndani hawakunikuta wakaanza zunguka nyumba kabla hawajanifikia nikastuka 🤣🤣🤣🤣🤣 ila ilikuwa night kali so taa za gari zilikuwa zina project maeneo na karibu nilipojibanza nyuma ya kichaka.

Siku ya pili nimeota ati nmeenda kumtolea mahari mpenzi wangu freshi sijui ikatokea gozi gozi gani siku ya harusi. Dah ilibidi nistuke tu maana ndoto ya kijinga 😂😂😂
 
Namsaidia mtoa mada unaonekana una nyota ya ubaharia Kuna watu watakuja kuchomoa betri kwenye mahusiano yako kuwa makini mrudie Mungu wako baki njia kuu 😃.
 
Namsaidia mtoa mada unaonekana una nyota ya ubaharia Kuna watu watakuja kuchomoa betri kwenye mahusiano yako kuwa makini mrudie Mungu wako baki njia kuu 😃.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwahio bora nikae kwa kutulia tu.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwahio bora nikae kwa kutulia tu.
Yes baki na mmoja nimeona vitu vingi kwenye ndoto yako Sema sisi watu wa Mungu hatutakiwi kukatisha tamaa Kondoo wetu 😂😂😂😂😂
 
Yes baki na mmoja nimeona vitu vingi kwenye ndoto yako Sema sisi watu wa Mungu hatutakiwi kukatisha tamaa Kondoo wetu 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 sawa mtu wa mungu, nakuaminia yani! Wacha nitengeneze zipu.
 
Namsaidia mtoa mada unaonekana una nyota ya ubaharia Kuna watu watakuja kuchomoa betri kwenye mahusiano yako kuwa makini mrudie Mungu wako baki njia kuu [emoji2].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi ndugu yangu aliota nimekufa, leo ndugu yangu mwingine kaota nimekufa. Tafsiri yake ni nini?
 
We Jamaa Mtu akishajieleza hapa jukwaani haina haja ya kumuita inbox maana angekuwa anajua umuhimu wa inbox asingeandika hapa hadharani ndoto zake.

Jibu hadharani ndoto za mwenye uhitaji wa kutafsiriwa ili maswali yasijirudie inbox na wengine wanufaike na majibu yako.
Njoo inbox kwa maelezo zaidi na ufafanuzi
 
ubarikiwe mtumishi
Hivi ukiota macho yanakua kama yanataka kupoteza uwezo wa kuona yani inshort unaona vitu kama una kizunguzungu vile
Hii inamaanisha nini
 
Shalom. Naomba unijulishe juu ya ndoto hii.Nimekuwa naota Mara kwa Mara nipo kijijini katika mji aliozliwa Mama na kunatokea kama Vita kubwa. Madege yakivita yanapita nakudondosha silaha Kali. Wakati mwingine kuna lipuka kama volcano milima inapasuka na Anga linashusha moto mpk nahisi kama ndio mwisho wa dunia. Lkn siku zote naota hayo sijawahi kuzurika
 
LEO NIMEOTA NAENDESHA KITU KAMA PIKIPIKI,NIKAKUTANA NA GARI YA DC AMBAYE NI MWARABU/MHINDI,BONDENI KULIKUWA NA MAJI KWENYE VIDIMBWI,NA MBELE YANGU NIKAONA GARI LINA RANGI YA BLUE LIMEANGUKA,NA KUZIBA NJIA,MAGARI YANAPITA PEMBENI, BAADAYE NIKAAMKA,LAKINI YULE DC NI MARA YA PILI KUMUOTA! MAANA YA NDOTO HIYO NI NINI?
 
Nyoka amelaaniwa kuliko wote..wakati huo huo tunahimizwa tuwe na busara Kama nyoka
 
ubarikiwe mtumishi
Hivi ukiota macho yanakua kama yanataka kupoteza uwezo wa kuona yani inshort unaona vitu kama una kizunguzungu vile
Hii inamaanisha nini
Hii inamaanisha uwezo wako wakuona mambo yaliyopo kwenye ulimwengu wa kiroho unaondolewa nakupofushwa usione tena
 
Mambo mengine ni ya private ndugu kwa hiyo haipendezi kuyaelezea huku kila mtu ayajue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…