Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Hii unaonyeshwa kuna tatizo kubwa kwenye familia yenu au ukoo wenu kwenye ulimwengu wa kiroho kuna mambo hayapo sawa na usipoangalia yatakuletea shida sana katika shughuli zako! KUNA VITA KUBWA SANA YAKIROHO INAWAANDAMA KATIKA FAMILIA YENU.FANYA TOBA NA MAOMBI SANA
 
Unaonyeshwa kuwa utakutana na vikwazo katika safari yako ya maisha vitakavyokufanya usisonge mbele
 
Nimeshakutumia ujumbe inbox kama ulivyoelekeza Kaka.
 
Sina hakika, ila yaonesha kuna vita ya kiroho ya kuangamiza Familia hiyo na imedumu muda mrefu.
 
"Eti kwa sababu Mungu alishanionesha
Hahaaaa!
Watu wanatumikia matumbo yao kwa kusingizia wanamtumikia Mungu
 
Tafasiri ya ndoto hizo inaonyesha kuna watu wabaya katika ulimwengu wa roho wanakufatilia sana ....na kuna mambo wamefanya mengine wamefanya kinyume ubaya waliokusudia haujakupata

Km ni mtu wa kusali zidisha kusali au km imani pungufu tafuta watu sahihi uombewe dua na ww utakuwa sawa

Sent using i phone x
 
Acha kufukua makaburi Queen
 
Mkuu daah tafadhali nakuamini ase hususan kwa mada zako za kisayansi nitakushangaa ukiweka imani potofu ,kwanza fika kwa wanasaikolojia hapo ndo utaelewa na kupata ufumbuzi wa matatizo yako hapo ni hivyo tu kwingineko utapoteza mda
 
Mkuu daah tafadhali nakuamini ase hususan kwa mada zako za kisayansi nitakushangaa ukiweka imani potofu ,kwanza fika kwa wanasaikolojia hapo ndo utaelewa na kupata ufumbuzi wa matatizo yako hapo ni hivyo tu kwingineko utapoteza mda
Mimi siamini mambo hayo
 
@Frankenstein,
Habari@Frankenstein!
Pole kwa unayo pitia. Kwa kifupi sana, unayopitia ktk ndoto ni kiashiria cha maisha yako ya kimwili yaliyopita, yaliyopo ama yajayo. Kuna aina kuu3 za ndoto ;1. Zitokanazo na sababu za kimwili /kibaolojia 2. Zinazotokana na kazi nyingi /uchovu 3. Za (mambo ya Ulimwengu wa) rohoni na hii ndio hili au aina yako wewe.

Tafuta kujua habari za NAFSI, MWILI NA ROHO(Soul, body & Spirit) hapo ndio shida ipo ktk maisha yako ya rohoni. Sikutishi ila nafsi yako kuna wajanja wa dunia hii wameshaiwinda na kuikamata na sasa unatelemshwa shimoni(Sheol).

Kuota unapaa maana yake unatumikishwa na Ulimwengu wa giza ktk uchawi(kwa mujib wa case yako wewe) na nguvu za giza tayari zimedominate huo mwili wako.Ndio maana Yesu Kristo alisema "Njooni kwangu ninyi mliolemewa na..." pia ushabebeahwa mizigo yao na wengine anaishi ndani yako na baada ya muda athali za hayo unayoyaota kwa tafsiri niliyo kupa utayaona ktk maisha yako yaani Magonjwa, Mabalaa , kufilisika , mkwamo ktk mambo yake na vitu ya hivyo. Nini cha kufanya?

Tafuta wanafunzi wa kweli wa Yesu wenye maarifa na ufahamu. Narudia tena ; Wanafunzi wa kweli wa Yesu Kristo! Ukitafuta profet na wa aina hiyo umeliwa!

***Naweza kuwa nimekosea kutype maana mavidole yangu makubwa na kasimu kimeo .., bure. Salaam
 
Habarini,

Kwa wale wataalamu wa ndoto, msaada wa tafsiri ya ndoto hii:

Huwa naota ndoto nyingi zingine naoneshwa na hutokea kweli, na baadhi ya ndoto hunifikirisha kama hii.

Zimepita siku kadhaa, unaweza ota ndoto hata 4 ila moja hukaa kwa muda kichwani. Nimeoteshwa dada yangu ameolewa ila ameolewa na mtu ambaye simfahamu. Dada yangu huyu ana umri mkubwa kidogo na mpaka sasa hajaolewa kutokana na sababu zilizoko nyuma ya binadamu (kufungwa), nakumbuka neno nililompa wakati wake huo wa harusi niliyoiona Ndotoni ni "kila jambo lina mwisho hivo vifungo vimekwisha wakati" wengi waliamini hutokuja kuolewa ila sasa umeolewa, na watu waliokuwa pembeni walisemeshana "Kumbe huyu alikuwa hajaolewa"

Ndoto hii inamaana gani, msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…