Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

Kupata tafsiri inahitaji usimulie ndoto yote, mwanzo hadi mwisho.
Mazingira mlifanya wapi..
Nani alianza kumtamani mwenzie, nani alimfata mwenzie, ulikubali kwa kupenda au ulifanya kwa kujilazimisha ...
Ilikuwa ni kama tupo tuna safiri na private car anaye endesha ni mshkaji wangu kabisa tulipita barabara yenye miteremko mikali sana yenye yenye mapango makibwa ya mawe kuna mahali tulifika ikaonekana ni kama kanisani wakati tuna pumzika katika mazingira hayo yenye watu wengi nika sogea pembeni ndo huyo bbi akawa ananisemesha kwa ishara ya kutaka ni mkaze basi katika maongezi nika mwambia akiwa sawa atanijulisha lakini alikuwa ananihitaji kimapenzi ...... sikumbuki vyote ila kwa uchache ipo ivo ndugu
 
wewe ni mkristo, muislamu au huna dini ?
 
Kupata tafsiri inahitaji usimulie ndoto yote, mwanzo hadi mwisho.
Mazingira mlifanya wapi..
Nani alianza kumtamani mwenzie, nani alimfata mwenzie, ulikubali kwa kupenda au ulifanya kwa kujilazimisha ...
Maranyingi huwa nikiota ndoto za kusafiri safiri huwa ntapita kwwnye kipindi kigumu sana kifedha nimesha gundua hichi kitu na inakuwa halisi katika maisha ya kawaida
 
Tulikuwa tuna pita kwwnye mapango makubwa sana ya mawe pia tulipita kwwnye misitu kame sana
hiyo ni safari yako ya maisha siku zijazo,
unahitaji neno la Mungu la kukuvusha kwenye mambo hayo unayokwenda kukutana nayo kwenye safari ya maisha.

Tafsiri ya ndoto hukamilika na kupata tafsiri vizuri kwa kuangalia uliyokuwa unayawaza moyoni ukiwa ndotoni.

ndoto ilikatika ukiwa bado unafanya kile kitendo na huyo bibi au ulimaliza kabisa na kuondoka huku ukiwaza nn
 
Huyo bbi hatujafanya naye ila alinionyesha ishara zote za kunihitaji kipenzi
 
Maranyingi huwa nikiota ndoto za kusafiri safiri huwa ntapita kwwnye kipindi kigumu sana kifedha nimesha gundua hichi kitu na inakuwa halisi katika maisha ya kawaida
Yah, you need word of God, To travel your life journey
 
hiyo ni safari yako ya maisha siku zijazo,
unahitaji neno la Mungu la kukuvusha kwenye mambo hayo unayokwenda kukutana nayo kwenye safari ya maisha.

Tafsiri ya ndoto hukamilika na kupata tafsiri vizuri kwa kuangalia uliyokuwa unayawaza moyoni ukiwa ndotoni.

ndoto ilikatika ukiwa bado unafanya kile kitendo na huyo bibi au ulimaliza kabisa na kuondoka huku ukiwaza nn
Blessed
 
Mkuu Sulya hebu check hii ndoto yangu..
Nina wake wawili.Mke mkubwa sielewani nae.
Sasa nimeota ndoto kwamba, nimelala nao wote kitanda kimoja.
Nikataka nifanye nao mapenzi.wakanambia nichague wa kuanza nae...nikachagua kuanza na mke mdogo kitu kilichosababisha mke mkubwa kunilalamikia sana kwani alitegemea nichague kuanza naye.Ndoto yangu iliishia hapo nikaamka.Nini tafsiri yake mkuu?
 
kiuharisia ungeaza na Yupi?
 
Back
Top Bottom