Madueke
JF-Expert Member
- Jul 5, 2023
- 318
- 379
Mi mwenyewe nishaota sana ilifika hatua ndugu hawataki niwasimulie make nikisema nimeota kitu flani basi walete.....nguvu yakiroho ipo sana mkuu ila wanaojifanya wajuzi ukiwauliza wanakwepa kwepaHizi elimu za kupewa zinaharibu wengi, Maswali kama haya nmeshauliza sana kwenye mada za namna hii, ajabu wanakimbia hawajibu.
Ndoto ya kitu ambacho kinakuja kutokea kweli mimi nlikua naota sana, That's why huwa sina shaka kwenye uamini wa "kiroho" ( Spiritual )