EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Piga ua garagaza, zurura sana kutafuta pisi kali ila huyo uliemuota ndio utakae muoa.😁🤣Usiku wa Jana Niliota nafanya Sex na manzi mmoja hivi ambaye namfahamu lakini Sina feeling nae!!
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Note: usinichukulie serious mimi mwenyewe siamini katika mambo ya ndoto