Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

Ndoto ni overrated sana
Ndoto ni mawazo tu kama wazo jingine unlike unakuwa umelala tu.
Ndoto ni tafakari kama tafakari nyingine
Ndoto has nothing to do with our life
Ndoto za kunyanduana ni wet dream(Ndoto nyeti) zinazompata mtu yoyote aliebalehe au kuvunja ungo ndimaana ukiamka unakuta ushaharibu
Narudia tena Ndoto ni overrated sanaaaa
Mkuu kuna zile ukiota zinatokea kweli,,,,mfano unaota upo msibani japo hutafunuliwa ni nani ila ukiamka unaletewa taarifa za msiba wa mtu au ndugu,,,,hii unaizungumuziaje mkuu
 
Ndoto zina maana sana, wakati nipo chuo nilishawahi kuota mwl anasolve maswali kipindi cha mtihani asubui nimeenda kwenye paper nikatuta maswali 2 ni kati ya yale aliyosolve mwl na nikashuka nayo vilevile na nikayapata yote, yaani niliamini kweli Mungu ana njia zake za kumsaidia mtu tatizo tu ni kwamba wakati mwingine huwa tunakuwa wajeuri
 
Ni makosa,sio sawa kuota unafanya mapenzi kwenye ndoto
Haijalishi umeota unafanya na nani!

Kuna maana nyingi sana hapo, ,kikubwa jua kuwa kuna roho iliyo nyuma ya huo uasherati/uzinzi wa kiroho inatumia sura za watu tofauti Ili usishtuke lakini sio sawa kiroho!
Haijalishi unafanya na unaemjua au humjui,iwe mke,mume,ndugu nk, sio sawa! Aiskudanyane mtu!

Km unasikiaga issue za majini mahaba/spiritual husband, spiritual wife ndo hizo ss Zina tabia ya kutumia sura tofauti za watu!
Km huaamini angalia maisha yako tangu umeanza kuota hizo ndoto, iwe ni kiuchumi, kimahusiano,yanafikia wapi... km umeoa,kuolewa,vipi Hali yenu Kwa ujumla ?,nk
 
Ndoto zina maana sana, wakati nipo chuo nilishawahi kuota mwl anasolve maswali kipindi cha mtihani asubui nimeenda kwenye paper nikatuta maswali 2 ni kati ya yale aliyosolve mwl na nikashuka nayo vilevile na nikayapata yote, yaani niliamini kweli Mungu ana njia zake za kumsaidia mtu tatizo tu ni kwamba wakati mwingine huwa tunakuwa wajeuri
Ayubu 33:14-15
[14]Kwa kuwa Mungu hunena mara moja,
Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali.
[15]Katika ndoto, katika maono ya usiku,
Usingizi mzito uwajiliapo watu,
Katika usingizi kitandani;
 
Mkuu kuna zile ukiota zinatokea kweli,,,,mfano unaota upo msibani japo hutafunuliwa ni nani ila ukiamka unaletewa taarifa za msiba wa mtu au ndugu,,,,hii unaizungumuziaje mkuu
Hizi elimu za kupewa zinaharibu wengi, Maswali kama haya nmeshauliza sana kwenye mada za namna hii, ajabu wanakimbia hawajibu.

Ndoto ya kitu ambacho kinakuja kutokea kweli mimi nlikua naota sana, That's why huwa sina shaka kwenye uamini wa "kiroho" ( Spiritual )
 
I love this post. I showed this post to my family & they also loved this post.we bought a projector & showed this post to the whole neighborhood & they also loved this post. Our lives have changed because of this post. We are grateful to you for this post,Thank you so much for this post..
 
Back
Top Bottom