bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Lakini zote zinaujumbeMsisahau Kuna ndoto za alfajiri na ndoto za mchana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini zote zinaujumbeMsisahau Kuna ndoto za alfajiri na ndoto za mchana
Umeokoka ?No zaidi ya miaka 11 ,ilitokea mwezi uliopita tuligongana mahali na kila mmoja alikua na furaha na mwenzake tukaongea just kujuliana hali Kama dakika 5 hivi then tukaagana safi tu.
Hizo Ndoto za kujirudia ilikua ni kabla hatujaona mwez uliopita tarehe 7.
Namjua Mungu naishi maisha ya kumpendeza MunguUmeokoka ?
Tafsiri hii nimetoa ni kwa wale ambao ni wakristo wa kweli.Je kama ulikua na mpenzi, ambaye hamjawa public , huyo mpenzi akafariki na ukaota una fanya naye mapenzi ina maana gani?
Which kind of conflictconflict is coming, be careful
What's the solutioni don't know, the prophecy end there
Am good in spiritual battlejust be careful, and read bible
Kwani hakuna mambo mengi duniani yamefanywa Kwa kuwaza tuukisema hivi Ndugu wakristo watakushangaa, Mafunuo wengi na taarifa nyingi watu walipokea kupitia ndoto.
Ndoto ya Mfalme Nebukadreza zote zilikua na ujumbe, Ndoto za Daniel, Ndoto nyingi sanaa.
Kwa mfano uliosema huwa ni kweli ukiwa na true love huwa unaletewa matukio juu ya huyo uliyenaye akiwa anakucheat so ni wewe chaguo lakoNaomba niseme kuwa ndoto zina maana sana,ila sio maana yakukariri kariri,mfano watu wamezoea kusema ukiota unakula nyama basi jua ni wachawi,sio kweli,ili mtu akutafasirie ndoto yako cha kwanza ajue kazi yako au shughuli yako ya kiuchumi ni ipi,kipato chako ni kipi,harakati zako juu ya maisha zikoje nk. Sasa weewe unaweza ukaota unakula nyama mtu akakwambia hao ni wachawi kumbe muota ndoto ni mpishi kwenye mahotel,kwahiyo kuota ndoto kama hiyo ni kawaida kwake.
Narudia ndoto ukizifuta zina maana,ninaushuhuda kwangu mimi juu ya ndoto nyingi ambazo huwa naota moja wapo ni hii,nililala nikaota mke wangu anachart na mwanamme kwa njia ya simu ,mawasiliano hayo yalikuwa ya kimapenzi na namba ya simu nikaoneshwa kuwa inaishia na 78 nilipoamka asubuhi nilimwambia mke wangu akakataa kuwa hana mawasiliano,baada ya siku tatu nikaifuma namba ile ile iliyoishia na 78 ,mke wangu hakuwa na la kusema.
Ndoto nyingi tu mimi huota na baada ya muda huwa kweli,hivyo tusidharau wala kupuuza ndoto
Chunguza maisha vizuri nje ya ndoto,ni harakati zipi za maisha huwa unazifanya na kuzikamilisha?Mimi ndoto zangu hata huwa hazieleweki na hazisimuliki. Hazina muendelezo unaoeleweka ni vipande vipande visivyokumbukika wala kueleweka.
Mara unaota upo darasani unapiga story, story zimenoga hapohapo upo sebleni unapiga story na watu wanabadilikabadilika kila muda kulingana na story. Hapohapo ndoto imebadilika kabisa upo kucheza mpira, mara umekua refa hapohapo upo wapi na wapi yaani unrelated stories.
Duh! Hapa na mimi pananihusu kuna muda naota nipo darasani tena najiandaa kufanya mitiani sasa najikuta naota mambo ya shule baada ya hapo najikuta nimeshtuka tayari yani sio powa kabisa.Chunguza maisha vizuri nje ya ndoto,ni harakati zipi za maisha huwa unazifanya na kuzikamilisha?
Kuota uko darasani huku ulishamaliza shule maana yake ni kwamba maisha yako yamerudishwa nyuma (unakwamishwa).
Una mipango ila haieleweki imezongwa na mambo mengi yasiyokamilika.
Chukua hatua kuna mambo yako hayakamiliki kwasababu yamewekewa vikwazo (mitihani).Duh! Hapa na mimi pananihusu kuna muda naota nipo darasani tena najiandaa kufanya mitiani sasa najikuta naota mambo ya shule baada ya hapo najikuta nimeshtuka tayari yani sio powa kabisa.
Hata mimi nlikua naota ndoto za namna hiyo, ila ndoto ya mwisho nliota nafundisha darasa je hii ina maana gani ?Chukua hatua kuna mambo yako hayakamiliki kwasababu yamewekewa vikwazo (mitihani).
Na hivyo vikwazo vipo vya muda mrefu wakati ungali mdogo (yaani kipindi cha kuwa shule wakati ulishamaliza).
usidanganye watu, kuota mazingira ya shule ina maana zaidi ya moja.Chukua hatua kuna mambo yako hayakamiliki kwasababu yamewekewa vikwazo (mitihani).
Na hivyo vikwazo vipo vya muda mrefu wakati ungali mdogo (yaani kipindi cha kuwa shule wakati ulishamaliza).