Tusiandikie mate na wakati wino upo mkuu. Acha tusubiri kuona upepo wa vita utaelekea wapi.Yani lleo hii unaifananisha rusiaa na Iraq kwamba walinzi wakiongwaa milioni kumi au milioni 200 watamuuzaa raissi wao unaisi wao hawana intelegencia nzuri kama yaa wamarekani unaisi wao ni kama nchi za daraja lenu kweli vichaa ni wengi nchii hii
Hali imekuwa mbaya kwa bwana mkubwa 🤣🤣Prigozhin: pesa za Africa ziliibwa.
Mkuu wa Wagner Prigozhin amesema "Tulipopigana Afrika tuliambiwa tunahiitaji afrika, kisha wakaitupa, kwa sababu waliiba pesa zote zilizokusudiwa kuja kama msaada".
Ameongeza kuwa hakuna mtu atakayesalimu amri ata "Kwa amri ya Putin".
We jamaa una basha huko Miami mbona umemwaga ushambenga kiasi hiki? Unaweza tuambia US alipata faida kiasi gani ktk harakati za kumuua Osama ukilinganisha na hasara waliopata? Unauhakika kuwa yale majengo ya WTC 1 na 2 hayakubomolewa na Alqaeda au ni hisia tu za kudhani US hapigiki? Kwa hiyo unataka kutuaminisha US hajawahi pata hasara?Hahaha Mkuu Marekani siku zote anapotaka kufanikisha jambo lake, huwa hajali wala kuangalia hasara anayopata kwa muda fulani.
Ndio maana nikakwambia hata lile shambulizi la Sep 11 ni wao ndio waliolipanga.
Kweli walipata hasara kwa kupoteza mamia ya raia, mali na vitu mbali mbali. Lakini matokeo yake wamerudisha hasara na faida juu kwa kupitia njia ya uwani (vita vya Osama)
Sasa hii hasara unayoiona wewe leo usidhani kuwa bunge la Marekani, FBI, CIA, wasomi wao na serikali kwa ujumla hawaioni au hawakuijua kama itapatikana. Walijua sana kama hasara itapatikana aidha kwa mwaka au miaka, lkn wanajua mwisho wa siku watafanikiwa wanachokilenga kwa sababu vita hiyo haiwazuii kuendelea na shughuli wezao za ndani hata kwa miaka 10 ijayo.
Swali je ikitokea sasa hiyo vita ikapiganwa hiyo miaka 10 ijayo, hali ya kijeshi, kiuchumi na kimaisha huko Urusi itakuaje?