kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Ila hayo masharti ni kamba ya shingoni kwa taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikijengwa nishtue.Bandari inajengwa.
Ukichukia jinyonge.
Unafikiri guluguja kama wewe ndo utazuia bandari isijengwe!Ikijengwa nishtue.
Sometimes kujibu wapumbavu ninkujizeeshaUnadhani tuna macho sisi!
Ndio maana,".....na hili mkalitazame...." imeshika hatamu.
Ole wenu, wanaokuja nyuma yetu watakuwa na macho
Ndugu Mayor Quimby ,kongole kwa mchango mzuri sana, ila unapoitoa "h" ,maneno yako yanakuwa na ukakasi kuyasoma ndugu.Watu wengi wanaamini Magufuli alikuwa mkali, binafsi nilikuwa namuona bado soft yaani ukali wake aufikii hata nchi za ulaya zinazo hubiri democracy kwenye kunyooshana huo ndio ukweli wenyewe.
Huko kwa mabeberu kama uelewi kwa maelezo na sheria basi utaelewa siku ukiingia kwenye 18 zao na utatia akili, ndio maana kila mtu yupo kwenye mstari mwenyewe.
Sasa watanzania (and this is unique to us only in the world), yaani watu wengi wana akili zao au mtazamo wao juu ya jambo fulani ata waeleweshwe vipi awataki kuelewa wakishajijengea premise ya ukweli wao wanao utaka ni ivyo tu.
Ndio kama hili sakata la bandari yaani Kakoko kalielezea kweli walipokwama na wachina. Kaelezea bandari ya Bagamoyo aina mjadala with or without wachina lazima ijengwe Dar ishafikia saturation point aiwezi kuwa expanded zaidi na mizigo ya nchi inayoitumia inazidi kuongezeka na itazidi kuongezeka.
Sasa unashangaa anaingia raisi mwingine anaanza na kuropoka majukwaani as if wenzake walizuia kwa makusudi wakati wametumia nguvu nyingi kwenye kuelimisha umma walipokwama na kusubiri hatma ya majadiliano kama vipi wajenge wenyewe huo ndio ulikuwa mkakati wa TPA.
Kwenye LNG ivyo ivyo kama ulisoma ile MoU iliyowahi kuwekwa hapa unaona kwanini J.K akutaka lawama za baadae ziwe zake ilikuwa mbovu mno.
Magufuli nae akutaka kuugusa kwa sababu wawekezaji awakuwa tayari kuubadilisha terms za kwenye MoU na ulikuwa na ‘stabilisation clause’ kumbuka hawa tayari wana exclusive right ya ku-exploit vitalu walivyofanyia exploration kukabaki na stalement kwenye majadiliano.
Kaingia Samia anaanza kupayuka nataka majadiliano yaishe soon, niliposikia tu nikajua hana facts, walisema December majadiliano yatakuwa yameisha kiko wapi.
Uzuri wa haya mambo Binafsi sasa hivi naanza kupata imani kuna watu wapo well trained kwenye maswala ya mikataba siku wakikutana na ‘bi Tozo’ wakimuelezea wanachogawa kama namuona akistuka “mtume ebu subirini kwanza, kabla amjasaini”.
Msingi wa upotoshaji ni mijitu ya ovyo kama Zitto na waropokaji au niite wadandiaji wa mambo wenye upeo mdogo kama waziri wa nishati yaani akianza kuongelea maswala ya mikataba his ignorance halafu mwenyewe anajiona wa maana kweli kweli kumbe bogus full of ujinga.
Ndio maana mimi siku nikiwa ata mwenyekiti wa mtaa nikikuta mtu katupa taka kiholela mtaani ntamuamsha ata usiku wa manane akaziokote yaani tuna tabia fulani za ujinga unique to us only bila ya kunyooshana kwa adhabu atuendi.
Duh wewe mshikaji unajua kila kitu!!!! AiseeAcha ujinga wewe,BRT ya mbagala hakuna kinachoendelea?
Ujenzi uko 82% ,unaposema hakuna kitu kinaendelea manake ni nini hasa?Duh wewe mshikaji unajua kila kitu!!!! Aisee
Sawa. Kwahiyo mnaanza kujenga lini?Unafikiri guluguja kama wewe ndo utazuia bandari isijengwe!
Hata Magu asingezuia.
Bandari itajengwa na hutafanya wala kuzuia chochote.
Jibu zile hoja zake, umeleta mada tunategemea unaielewa vizuri !Magu alikataa sababu za wivu na fitina tuu
Na wanaoteseka ni wananchi wa hali ya chini.Kabisa,hii tabia ya Kila kitu kutumia pesa za ndani ni mbaya sana Kwa uchumi..
Ndio inasababisha financial inclusion iwe ngumu na kuleta umaskini
Itakapofikia wakati wake.Sawa. Kwahiyo mnaanza kujenga lini?
Naomba ujenzi ukianza uniquote humu, asante.Itakapofikia wakati wake.
Stay calm.
We jipange tu ujue utanufaika vipi na ujenzi wa bandari.
Ila wazo la kufikiri unaweza/mnaweza kuzuia achana nalo kabisa.
Kaombe uwe hata kibarua/saidia fundi ili walau upate chochote kitu.
Najua inawauma sana kuona mradi anautekeleza mama. Umeona utafute namna ya kuonyesha mradi huu bila JPM usingefanyika?? Pole sana, mradi ulikua ushapangwa kwenye mpango wa taifa whether kwa ubia au pesa za ndani ungefanyika tu.Wachina out, hatutaki uwizi ni bora tujenge sisi na mradi uwe wetu 100%
JPM aliona mbali sana
Kwa hiyo amekosekana wa kuusaini ule mkataba wa kijinga?
Tehe. Tehe. Tehe JPM bhana!
Umenifunza mengi na kunifanya niwe jasiri zaidi hata kwa yale makubwa zaidi
Shule ni nzuri tusiidharau
U'skunk' naona ni asili yako usiyoweza kauachana nayo.Huchoki kuandika maujinga?
You know nothing kwenye uchumiNashangaa tu, kwa mawazo kama haya!
It's hard to believe!
EeenHeee!Dola 200? Are you serious?
Sijaona chochote cha kunishawishi kwamba wewe unaelewa lolote kuhusu uchumi.You know nothing kwenye uchumi