Ndoto yatimia: Serikali kupitia TPA kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanzia mwaka huu wa 2023/24

Ndoto yatimia: Serikali kupitia TPA kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanzia mwaka huu wa 2023/24

Watu wengi wanaamini Magufuli alikuwa mkali, binafsi nilikuwa namuona bado soft yaani ukali wake aufikii hata nchi za ulaya zinazo hubiri democracy kwenye kunyooshana huo ndio ukweli wenyewe.

Huko kwa mabeberu kama uelewi kwa maelezo na sheria basi utaelewa siku ukiingia kwenye 18 zao na utatia akili, ndio maana kila mtu yupo kwenye mstari mwenyewe.

Sasa watanzania (and this is unique to us only in the world), yaani watu wengi wana akili zao au mtazamo wao juu ya jambo fulani ata waeleweshwe vipi awataki kuelewa wakishajijengea premise ya ukweli wao wanao utaka ni ivyo tu.

Ndio kama hili sakata la bandari yaani Kakoko kalielezea kweli walipokwama na wachina. Kaelezea bandari ya Bagamoyo aina mjadala with or without wachina lazima ijengwe Dar ishafikia saturation point aiwezi kuwa expanded zaidi na mizigo ya nchi inayoitumia inazidi kuongezeka na itazidi kuongezeka.

Sasa unashangaa anaingia raisi mwingine anaanza na kuropoka majukwaani as if wenzake walizuia kwa makusudi wakati wametumia nguvu nyingi kwenye kuelimisha umma walipokwama na kusubiri hatma ya majadiliano kama vipi wajenge wenyewe huo ndio ulikuwa mkakati wa TPA.

Kwenye LNG ivyo ivyo kama ulisoma ile MoU iliyowahi kuwekwa hapa unaona kwanini J.K akutaka lawama za baadae ziwe zake ilikuwa mbovu mno.

Magufuli nae akutaka kuugusa kwa sababu wawekezaji awakuwa tayari kuubadilisha terms za kwenye MoU na ulikuwa na ‘stabilisation clause’ kumbuka hawa tayari wana exclusive right ya ku-exploit vitalu walivyofanyia exploration kukabaki na stalement kwenye majadiliano.

Kaingia Samia anaanza kupayuka nataka majadiliano yaishe soon, niliposikia tu nikajua hana facts, walisema December majadiliano yatakuwa yameisha kiko wapi.

Uzuri wa haya mambo Binafsi sasa hivi naanza kupata imani kuna watu wapo well trained kwenye maswala ya mikataba siku wakikutana na ‘bi Tozo’ wakimuelezea wanachogawa kama namuona akistuka “mtume ebu subirini kwanza, kabla amjasaini”.

Msingi wa upotoshaji ni mijitu ya ovyo kama Zitto na waropokaji au niite wadandiaji wa mambo wenye upeo mdogo kama waziri wa nishati yaani akianza kuongelea maswala ya mikataba his ignorance halafu mwenyewe anajiona wa maana kweli kweli kumbe bogus full of ujinga.

Ndio maana mimi siku nikiwa ata mwenyekiti wa mtaa nikikuta mtu katupa taka kiholela mtaani ntamuamsha ata usiku wa manane akaziokote yaani tuna tabia fulani za ujinga unique to us only bila ya kunyooshana kwa adhabu atuendi.
Ndugu Mayor Quimby ,kongole kwa mchango mzuri sana, ila unapoitoa "h" ,maneno yako yanakuwa na ukakasi kuyasoma ndugu.
"aufikii" badala ya "haufikii".
Ubarikiwe kwa mchango mzuri sana na jitahidi urekebishe hilo la "h".
 
Sawa. Kwahiyo mnaanza kujenga lini?
Itakapofikia wakati wake.

Stay calm.

We jipange tu ujue utanufaika vipi na ujenzi wa bandari.

Ila wazo la kufikiri unaweza/mnaweza kuzuia achana nalo kabisa.

Kaombe uwe hata kibarua/saidia fundi ili walau upate chochote kitu.
 
Wachina out, hatutaki uwizi ni bora tujenge sisi na mradi uwe wetu 100%

JPM aliona mbali sana

Kwa hiyo amekosekana wa kuusaini ule mkataba wa kijinga?

Tehe. Tehe. Tehe JPM bhana!

Umenifunza mengi na kunifanya niwe jasiri zaidi hata kwa yale makubwa zaidi

Shule ni nzuri tusiidharau
Najua inawauma sana kuona mradi anautekeleza mama. Umeona utafute namna ya kuonyesha mradi huu bila JPM usingefanyika?? Pole sana, mradi ulikua ushapangwa kwenye mpango wa taifa whether kwa ubia au pesa za ndani ungefanyika tu.

Tatizo lenu mlidhani miradi haiwezi kufanywa na mtu mwingine asiyeitwa JPM...... 🤣🤣🤣.
 
Nashangaa tu, kwa mawazo kama haya!
It's hard to believe!
You know nothing kwenye uchumi
[/QUOTE]
Sijaona chochote cha kunishawishi kwamba wewe unaelewa lolote kuhusu uchumi.
Unachofanya ni kuimba tu nyimbo kama kasuku za hao wakoloni wapya wanaotafuta njia mpya za kuendelea kuitawala dunia kiuchumi.

Ulikwenda shule kukariri tu, unayoambiwa, bila kujiongeza kwa lolote!
 
Waanze na upembuzi wa ujenzi wa reli, siyo wanakuja jenga limradi likuuubwa alafu maroli yanakuja kuharibu barabara kizembe tu.

SGR kipande cha kutoka bagamoyo mpaka Morogoro kianze wakati mnaendelea na ujenzi wa hiyo bandari.
 
Makataba wa ujenzi wa bandari hii uwekwe wazi kwanza. Tusifurahie tu bandari inajengwa what is within a contract agreement
 
You know nothing kwenye uchumi
Sijaona chochote cha kunishawishi kwamba wewe unaelewa lolote kuhusu uchumi.
Unachofanya ni kuimba tu nyimbo kama kasuku za hao wakoloni wapya wanaotafuta njia mpya za kuendelea kuitawala dunia kiuchumi.

Ulikwenda shule kukariri tu, unayoambiwa, bila kujiongeza kwa lolote!
[/QUOTE]
Huwezi muelewa Mchumi Kwa akili za historia au kukariri matrix
 
Back
Top Bottom