Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

Nachokiona ni chuki moyon mwako. Kuna Haja gani ya kuitaja burigi [emoji2369]
 
Hapo kuna upumbavu hupi, Magufuli kufanya kwao alikotokea kuwa Mkoa,Mbona hata Wachaga walimwomba Samia Moshi uwe Mkoa,hapo sikusikia makelele kama haya kisa Wachaga?Sioni tatizo chato kuwa Mkoa labda kwasababu alikuwa anatokea Magufuli.
 
Hapo kuna upumbavu hupi, Magufuli kufanya kwao alikotokea kuwa Mkoa,Mbona hata Wachaga walimwomba Samia Moshi uwe Mkoa,hapo sikusikia makelele kama haya kisa Wachaga?Sioni tatizo chato kuwa Mkoa labda kwasababu alikuwa anatokea Magufuli.

..tatizo ni kwamba wanaodai Chato kuwa mkoa wanataka kumtukuza na kumuenzi Magufuli tu, sio kwasababu wananchi wanahitaji huo mkoa.
 
Kuna umuhimu wake mkuu,binafsi nimeona impact ya kuugawa mkoa wa Mbeya na kuupata Songwe......kuna baadhi ya wilaya zilisahaulika kama Ileje,now angalau zimefikiwa na maendeleo
Kuna mdau kasema hapo juu,yote hiyo ni siasa tena naongezea za umbumbumbu.

Neno ugatuzi wa madaraka unalifahamu katika angle zipi.

Anyway, ni kwamba viongozi kwenye maeneo husika wawe na nguvu kamili na kuweza kupanga mipango yao hukohuko walipo sio kusubiri kila kitu kutoka Dodoma.

Unachokiona kilichofanyika hapo Songwe,kuna watu wa eneo jingine wameminywa katika mahitaji yao ili kuhudumia mkoa mpya ili nao ustawi.
Hivyo unaminya huku,unapeleka kule.
 

Biharamulo ni Halmashauri ya Wilaya. Bukoba Mjini pia ni Halmashauri.

Unafata huduma gani Bukoba Mjini ambayo haipo Biharamulo?

Na kama kipo cha zaidi Bukoba Mjini ni kwa nini msidai Halmashauri ya Biharamulo iletewe hizo huduma kama wengine wa Halmashauri ya Bukoba Mjini ??

Na ni kivipi Chato ingekuwa Mkoa ingeleta hizo huduma Biharamulo ?
 
Hivi ni huduma gani katika zama hizi za mawasiliano ambazo zitatakiwa kuwepo makao makuu ya mkoa na yasiwepo wilayani,katani hadi ngazj ya chini kabisa ya mtaa na vijiji.

Ukiona ipo,basi ndo maana tupo kama hivi tulivyosasa,yaani TUMEPAUKA sana

N.B
Najua unachozungumza na huduma unayomaanisha.
Hapo ndipo niliposema ugatuzi wa madaraka haupo mf kuna hasara gani mtu kupata leseni ya udereva wilayani hadi imlazimu kwenda mkoani?
 
Hakuna lelote jipya Kuhusu Mkoa wa Chato zaidi ya Uhasama tu. Zaidi ya kujenga nadhari, potofu, zaidi ya kujenga kuwa karibu yote aliyefanya J.P.M ni ya kipuuzi.
Yaani tatizo ni kwamba wanaodai Chato haikutakiwa kuwa mkoa wanataka Kumsimanga na kukatisha tamaa, kumbeza Hayati Raisi Magufuli tu, kwasababu Serikali inaboresha Nchi.

Kuna mikoa mingapi zilimegwa kabla ya Hayati J.P.M?
 
SUKUMA gang wana uhasama na mama, lakini wacha Mungu na wasiotaka perepeche wanasimama na mama
Nawajua mafashisti na wengine waliokuwa na mawazo mgando, huwa wanafikiri Mungu kawabarikia, Wanapenda kweli kudai na wenzao wamebarikiwa pale Ujambazi wao Ukihalalishwa.

Sioni ajabu na Mhemeko.
 
Ndiyo wakome.Asingekufa yule Bwana Chato ingelikuja kuwa Nchi huru inayojitegemea Kama Ukrain au Slovenia.
 
Hapo kuna upumbavu hupi, Magufuli kufanya kwao alikotokea kuwa Mkoa,Mbona hata Wachaga walimwomba Samia Moshi uwe Mkoa,hapo sikusikia makelele kama haya kisa Wachaga?Sioni tatizo chato kuwa Mkoa labda kwasababu alikuwa anatokea Magufuli.
Loh!Jivi wewe upo Ulimwemgu gani? Hivi ni lini wachaga waliomba Moshi uwe mkoa.

Yawezekana huelewi hata maana ya mkoa! Moshi sasa hivi ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…